Lema ukimwagwa usikate rufaa rudi kwenye uchaguzi

CCM common sense kwao is not common!
They dont even sense the wind of change blowing over Tz!
Wanajifanya akina Tomaso!

Bila akina Tomaso na akina Yuda ukombozi wa dunia ama usingepatikana ama ungechelwa angalau kidgo " ni ili neno litime"
 
ccm wanajua madhara ya kumwondoa lema'wanajua kama atatoka bado arusha itachukuliwa na chadema'kuna tetesi tumesikia kama wakijitumbukiza kwenye uchaguzi mwingine na kushindwa itaongeza speed ya kifo chao'wao sasa hivi wanataka kuvuta pumzi na kufanyia kazi mambo kadhaa kabla ya kukumbana na aibu nyingine
 
Natangaza vita na magamba arusha wakimvua,wasijidanganye kuwa watapata jimbo.hali yao ni mbaya a town kuliko hata sehemu yeyote nchini
 
Kumzuia kushiriki siasa miaka mitano! Mnara wa uhuru pale Arusha utakuwa ni mnara wa ukombozi wa mtnzania kutoka kwenye serikali dhalimu ya CCM. Tutaandana, watupige, tufe mpaka tuishe kama wakileta hukumu zisizokuwa na utu Arusha.

jacob acha kutuzuga...location yako inaonyesha upo Stockholm....
 
Wanajua hali ya Arusha awawezi cheza nayo fundisho zaidi ni arumeru,wanachofanya ni kupima joto,hakuna chochote sianajulikana aliye nyuma ya pazia wanachofanya ni kumfurahisha na kukamua kama walivyokamua za uchaguzi Arumeru msitishike sana kuwa Lema atamwaga zingine ni Project.Ingawa zinamuweka tumbo joto mwanacdm ila hazina madhara kihivyo.Muda wa kuzuia maendeleo ya Arusha CCM hawana tena ila kwa mtu mmoja mmoja kucheza na kesi hiyo sawa siunajua siasa za mtandao na sifa ya kukomoana CCM,
 
Nataman watengue lakn wamruhusu kugombea mheshimiwa Lema. Nawaambieni magamba watapata 10% itakuwa aibu nomaaaaa
 
majeraha ya uchaguzi wa arumeru yanawafanya CCM kuota ndoto za mchana.
Mahakama sio choo cha stand.


KWA KWELI NIMEAMINI "TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA" NA MWAKA 2015 TUNAICHIMBIA KABURI baharini ILI NA WANA-CCM WALIOPO ZANZIBAR TUWAZIKE PAMOJA KABURINI.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Mmi kwangu naona wakitoa hukumu ya namna hiyo itakuwa haina athari sana kwa CHADEMA na Lema kwa ujumla cause uchaguzi utakaofuata MAGAMBA yatapigwa vibaya, na hiyo itakuwa fursa ya kuendelea kuwatumia ujumbe watanzania kuwa muda wa mabadiliko ndi huu.
 
Back
Top Bottom