Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

Status
Not open for further replies.
Hayo ni maono tu, ikiwa yatatimia ni mipango ya Mungu, kwa hiyo wanamombi wamuombee ili isiwe kweli au wale wanaoomba yawe ya kweli basi yatimie kama Mungu alivyopanga maana Mungu ndiye anayejua
 
Rais Magufuli aliwa kuwaomba mara kadhaa watanzania wamuombee kwa kuwa genge analopambana nalo sio dogo.

Na sisi watanzania tunaendelea kumuombea.

Leo mbunge lema ametoa kauli tata ya kumuonya Mh.Rais eti asipojirekebisha "Atakufa"

Je kwa vyombo vya usalama kauli hii wanaichukuliaje?

Je ndani ya bunge kamati inayohusika na maadili imeichukuliaje?
Maono jingalao
 
Kauli hiyo haina athari yoyote kwa Nchi.. Kama alivyosema Mh Lema.. Hayo ni maono tu..
Ova and out..!!
 
We unaona ni jambo dogo hilo?
Usiwe mpuzi wwe,
Hivi vyombo vya usalamaaa mbona havikuchukua hatua pale wanasisiem waliposema mzee wariobaa anasubiri kufa tu???

Tusijitoe ufahamu kisa alieonge ni mtu wa upinzani,
Kuna wakati we have to let things go na tuendelee na maisha
 
Rais Magufuli aliwa kuwaomba mara kadhaa watanzania wamuombee kwa kuwa genge analopambana nalo sio dogo.

Na sisi watanzania tunaendelea kumuombea.

Leo mbunge lema ametoa kauli tata ya kumuonya Mh.Rais eti asipojirekebisha "Atakufa"

Je kwa vyombo vya usalama kauli hii wanaichukuliaje?

Je ndani ya bunge kamati inayohusika na maadili imeichukuliaje?
Tafuta kazi ufanye kazi ya umbea wewe huiwezi waachie mashoga.
 
Wana wa Lumumba naona Lema kawachoma na mnaanza kumuita chizi. Chizi huwa anaandika proposal na kupata bilioni 9 za kuhudumia afya za wananchi?
Lema anamuiga Malema lakini tofauti yake na Malema ni kwamba Malema anasema ukweli wakati Lema anataka kuchukua kijiti cha marehemu mtikila kwa kufungwafungwa bila sababu akidhani ataacha legacy. Ningekua Magufuli ningemuacha aendelee na sanaa yake ya usanii akisikilizwa na vichaa wenzake. Na ushauri kwa Mbowe ni kwamba Lema hakisaidii chadema kwa ujinga kama huu wq kua kibaji wa cdm. Chadema hawatakiwi kuwa na watu wenye akili kama Lusinde wamepita huko
 
MH,GODBLESS LEMA APIMWE AKILI YAKE KWA KAULI ZAKE TATA

Ni masaa machache tangu mbunge wa Arusha mjini aongee vitu ambavyo hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuongea Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ndugu mtanzania utakumbuka kuna clip zinasambaa mitandaoni kuwa mh,Lema amemtabilia kifo Mh,Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli kufaliki dunia kabla ya mwaka 2020,bila kutoa sababu za msingi kwa nini yeye anajua mh,Rais atakufa kabla ya kumaliza muda wake.

Vitu vya kujiuliza hapa watanzania wenzangu ili kuweza kutafakali kwa kina swala hili ni kama ifuatavyo;

1,Ni kitu gani kilichomsukuma Lema mpaka kuongea hivyo?

2, Je ni nani walioko nyuma ya Lema wanaosuka mpango wa kifo cha Mh,Rais? Na kama wanaandaa mpango huo ni kwa faida ya nani?

3,Hivi kweli Lema ana akili timamu kuongea kitu kama hicho hadharani bila kuogopa au alivuta madawa ya kulewesha ili aje kulopoka siri wanazozipanga?

4, Je jambo kama hilo lingekuwa limetamkwa na mbunge wa chama tawala dhidi ya Mbowe kutabiliwa kifo watu wa haki za binadamu napo wangekuwa kimya? Je jamii ingefurahi nakuona jambo la kawaida kama ilivyo sasa?

5, Je wewe hapo ulipo mtanzania mwenzangu mtu akikwambia unakufa kabla ya 2020 utachukua hatua gani? Utaenda kuchukua RB polisi? Je Mh, Magufuli akimchukulia hatua Kali Lema dhidi ya alichokisema atakuwa amekosea kama na ambavyo na wewe ungeenda kumlipoti mtu wa namna hiyo?

Ndugu mtanzania kuna haja ya kuanzisha sheria ya kuwapima wabunge wote wanaotumia bangi na madawa mengine ya kulevya ili wasiwe wanaingia Bungeni wamelewa kama mh,Lema, ni ukweli usiopingika kuwa maneno hayo aliyasema akiwa hayuko sawa kichwani bila kufanya hivyo Bunge letu litakosa maana.

Mwisho nashauri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama visiwe vinapuuza kauli kama hizi, waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo laja kwa hiyo fanyeni uchunguzi wa kina dhidi ya kauli hii tata ingawa kuna kinga ya Bunge tumieni kila namna kubaini walioko nyuma yake.
Imeandaliwa na wenu,
Comrade,
MWITA NYARUKURURU
 
Kwaiyo unatakaje??.
 
Chadema wana PHD ya kumtoa mtu mapovu ,alicho maanisha ni mungu na sio magufuli atasitisha maisha yake,na kusema magufuli anafikiri mungu watajichomoa kwa kusema ndo maoni yake
 
Polisi mburuzeni mahakamani amlete huyo Mungu anayesema atamwuua Magufuli kama shahidi yake.Nakumbuka kesi moja mtu alisema alikosea sababu shetani ndiye aliyemsababishia hilo tatizo.Hakimu akasema kesi naipanga wiki ijayo ukamlete huyo shetani hapa mahakamani atoe ushahidi kuthibitisha hayo uliyosema.Mahakama huwa hazina dini kwa hiyo hazitambui Mungu KAMA KIUMBE kisichoonekana.

Huyo MUNGU aliyemsema Lema atamwua Magufuli anatakiwa Lema AMPELEKE mahakamani.
Jamhuri imkamate Lema imuweke ndani hadi atakapomleta huyo Mungu ambaye Lema ana uhakika atamwua Magufuli kabla ya uchaguzi.Kisheria inakubalika .Kamateni LEMA.Na kama hatamleta huyo MUNGU MAHAKAMANI AHESABIWE KUWA yeye ndiye muuaji mwenyewe.Na hao walioshangilia kusema na iwe hivyo wote kamata .
Sikujui hunijui ,ila unafikiri taratibu sana ,lema kasema mungu atasitisha maisha yake,anamwanya wa kusema mungu atajiua sio magu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom