Lema, omba tena muongozo kutoka kwa spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema, omba tena muongozo kutoka kwa spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fangfangjt, Feb 18, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Lema aombe tena muongozo baada ya kuwasilisha report yake. Ni vizuri kujua mbunge anayewakilisha WANANCHI, afanye nini kama serikali imedanganya
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  haraka iwezekanavyo twataka kujua aliyeidanganya nchi ni nani katika chombo kikuu ndani ya nchi yaani Bunge.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amwombe spika ampe tena mwongozo ili wananchi wamwelewe kwa ni huku mtaani kuna waomwona yeye ni mwongo na wengine waziri mkuu ni mwongo.sasa tunataka kuondoa huu mkanganyiko,kama imeshindikana bungeni spika atoe mwongozo je?amwage hadharani ili sisi tuliowatuma tuwahukumu baada ya kuupitia huo utetezi wa bw lema kwani huyo pm tulishamsikia.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwa Tanzania haiwezekani bao la kisigino
   
 5. CPU

  CPU JF Gold Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Supika yule mama ana jazba mno, hawezi kuruhusu hata kidogo kiongozi wa serikali mjadala utakaomfanya kiongozi wa serikali hafai au ajiuzuru, utashangaa anaweza akaropoka kumpa BAN ya wiki nzima Lema
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hata bao la Tik Tak ni imposibo mishen
   
 7. Avocado

  Avocado Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama alikurupuka,sasa anauogopa ushahidi,yeye alidhani watu tunavyosema Sitta alikuwa makini ni mambo kama hayo,na bado huo ni mwanzo tu,there four solid years ahead of her !
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  it is obvious, Pinda alidanganya na ndiyo maana Anna Makinda amekuwa mwokozi wake.
   
 9. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Basi itabidi Lema aiombe serikali iombe radhi bunge na wananchi wa Arusha kwa taarifa isio sahihi!
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine huwa tunayatafuta wenyewe, spika inalazimika kutoa ushahidi hadharani kwa sababu alitamka bungeni iwaje ajiridhishe yeye peke yake. Wananchi watamwelewaje Lema muongo au shujaa, mnafiki au mkweli?
   
 11. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Litmus test for Pinda and Makinda...
   
 12. doup

  doup JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  mkuu hapo kwenye RED umenikumbusha mbali sana, huyu mamam hafai kabisa
   
 13. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe tunakufahamu humu ndani unakuwa na matatizo ya akili kila wakati. huwezi kusema hivyo kwenye mambo muhimu kama hayo.
   
 14. j

  just in time Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SPIKA ALICHEMKA HII NI HOME WORK YA KUJITAKIAA SASA.
  BADALA YA KUMALIZA BUNGE NA KUPUMZIKA, SASA UBONGO
  WAKE UNA CLICK LEMA, LEMA,LEMA:twitch:
   
 15. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waliozoea kuficha ukweli, hili siyo tatizo kwao.
   
Loading...