Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Kwa kukosa hekima na adabu angalia unatukana babu na bibi zako na baadhi ya ndugu zako kwani najua hawajaenda shule. Ina maana nao ni msosi wa wasomi pia?
 
Ndugu zangu huu ni ushauri wa bure nimewasikia watu wengi sana,wanamsifia mungu wa taifa jingine,wanasahau kuwa mungu ni wa wote kama mtaendelea hivyo ukombozi utakuwa mgumu sana,mungu wa israel hatuna shida nae,hatuna shida na bendera ya israel.tuna shida na mungu wa Tanzania mwenye kusikia na asikie,ndo maana chadema haiwezi sitawi zanzibar kama mtaenda na mungu wenu wa israel.
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss
Haya maneno katika red ya Mpiganaji Lema au yako wewe?
 
God bless Godbless Jonadhan Lema.
Sijui nimepatia yaani
Mungu mbariki Godbless Jonadhan Lema
Majina mengne yanajitosheleza hayaitaji mbwembwe
 
Malizia Jasho la MENO litawatoka ....chezea nguvu ya umma wewe!hivi kila CDM wakienda kwa wananchi wana agenda CCM wamebaki kudandia au kujibu agenda za CCM.
 
Mijitu ya Dar ni kama sikio la kufa, utadhani imelogwa na magamba. Walijazana nyumbani kwa Mtemvu kula wali wa DUA leo uwaambie wajiunge na harakati? Ukombozi huu utaishia Dar but utaanzia sehemu nyingine za nchi, Lema kamanda usipoteze resources kwenda dar
Dar bado haijapata mtu wa kuwateka, akienda kamanda lema ndani ya wiki tu utaona badiliko kamanda.
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Wewe fisadi jitu! Hauna hata haya ya kujineemesha na kodi ya Watanzania?

Bado mpo ICU na bado unabwabwaja tu na misemo mibovu kama hii ya kwako isiyo na mbele wala nyuma fisadi chafu wewe!

Safari hii nakwakikishia ya kwamba utakimbia jukwaa mwenyewe kama mafisadi wenzako watumwa walioamua kutua mzigo na kurudi ndani ya JF na ID tofauti!

Tumia kichwa unapotaka kuja humu jamvini kilaza mkubwa wa mafisadi wewe!

Hauna hata haya!
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Asiyejua maana usimwambie maana. Endelea kufikiri hayo yanayosemwa hayawezekani siku ukishituka watu wanapiga hodi Ikulu!!!
 
mfa maji huyo lazima atapetape!...mpeni mshahara kama mnavyompa Silaa jamani atachanganyikiwa zaidi huyo mangi msaidieni!

Wewe ndiye mfa maji,achana na kamanda Lema,jitetee wewe mwenyewe,kama Lema hawezi yanakuhusu nini? NYEGE HIZI ZA AJABU.
 
Lema atembelee Dar, afanye mikutano 3 mikubwa. mmoja Kariakoo kwa wafanyabiashara wanaonyanyaswa na TRA wakati wakubwa wanakula hela!, mkutano wa pele uwe pale Tanganyika Packers ili watu wakumbushwe sera za 'ubinafsishaji' za ccm, na mkutano wa tatu uwe Jangwani - funga kazi.

I like it. Imekaa vizuri.
 
I feel soryy for CCM idata ya Usalama imewapa reprt kuwa 2015 Mkoa wa Dar CCM itaambulia jimbo moja tu la ILala.
 
I will put my prediction every month kwa kila Mkoa Jinsi Upinzani ulivyozidi nchini Kama utakumbuka kuna Mwandishi mmoja alisema in 2010 election is over but kuondoka Kwa DR Slaa Bungeni ni pigo kubwa kwa CCM kwani alitumia muda wake wote kujenga upinzani nchini nje ya bunge na sasa CCM is in critical conditions.
Rushwa inaitafuna CCM na kuoneshana vidole wao kwa wao.
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Bhangi at work
 
Ktk mambo ambayo ccm watajutia milele ni kumwacha lema awe free role! Gatuso alicheza free role kt ya man na AC MILAN kila m2 anajua kilicholili,Ronaldo alikabwa hadi akaonekana mbuzi tu!

Hiyo mechi huwa naiangalia kila kukicha...
 
Hapa Lema, kule Zitto.
Mlangoni Nassary,Pembeni Sugu katikati Mnyika hali yao mbaya sana.

Hao wote uliowataja ni Viungo yani mamilidifilda hao. na hapo ndo game inaposhindiwa. pasi moja nzuri inatuwa golini ikulu 2015
 
Mi nahesabu makosa wanayofanya ccm. Moja kutovuana magamba pili hukumu ya kimagumashi ya Lema tatu kutodhibiti mfumko wa bei nne kutowawajibisha wasiowajibika. Hakika kutawamaliliza. Mengine ongezea.
 
CDM noma wanapiga kila sehemu bunge na kwa wapiga kura endeleeni saa ya ukombozi ndio sasa
 
Ndugu zangu huu ni ushauri wa bure nimewasikia watu wengi sana,wanamsifia mungu wa taifa jingine,wanasahau kuwa mungu ni wa wote kama mtaendelea hivyo ukombozi utakuwa mgumu sana,mungu wa israel hatuna shida nae,hatuna shida na bendera ya israel.tuna shida na mungu wa Tanzania mwenye kusikia na asikie,ndo maana chadema haiwezi sitawi zanzibar kama mtaenda na mungu wenu wa israel.

Mungu wa Israel ni Mwenyenzi Mungu, huyu huyu ambaye ni Mungu wetu. Iyo tittle amepewa kwa alichofanya kwa Israel. Ila nafikiri kwa ambao hawajui mambo ya Devine, wasijadili. Zungumzia CCM na CDM, unazojua. Mwogopeni Mungu.
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

We Gamba Tu, yaaani hata alama za nyakati hauzisomi ama...PoLEE SANAAAAAA..Peleka taarifa kwa CCM kuwa habari yao imeoisha...Long live and u w'll see what is going to happen...CCM kifo cha mende
 
Back
Top Bottom