Lema: Nilitarajia kupokea kipigo kutoka kwa polisi Arusha

......nyie machalii wa A-town msituyeyushe, kwani hamuwezi kuingia ndanik ya security perimeters za hao mafisadi (DED, OCD, Mary Chitanda) muwafanyizie?.........hakuna head hunters huko bongo?
 
......nyie machalii wa A-town msituyeyushe, kwani hamuwezi kuingia ndanik ya security perimeters za hao mafisadi (DED, OCD, Mary Chitanda) muwafanyizie?.........hakuna head hunters huko bongo?

Hapa umeongea kaka mambo ya kulalamika yamepitwa na wakati maana hakuna mtu atayekusikia na ukisema ukimbilie kwenye vyombo vya sheria huko ndiyo utakua wengi wameteuliwa kwa kujuana maana hawana sifa za kuyashika madaraka hayo ilhali wasomi wamejaa tele halafu unategemea haki itatendeka? Mi nilishasema kwenye thread ya kwanza ya hii issue kuwa suala hapa ni kujipanga kimakundi na kufanya kinachotakiwa kufanywa na wazalendo wa nchi yoyote ile kama ni kulalamika tumeshalalamika sana lakini hiyo haisaidii wameweka pamba sikioni na wameshatuona sisi ni waoga na wabinafsi na hakuna aliye tayari kutoa muda na hata maisha yake kwa ajili ya vizazi vijavyo na HUU NI USALITI KWA WATOTO WETU WATAKUJA KUYATUKANA HATA MAKABURI YETU KWA UZEMBE TULIOFANYA na hata kuacha Nchi inakwenda mrama kama haina mwenyewe.
 
Ninaunga mkono,cdm acheni malalamiko toeni somo hao mafisadi(ocd,ded,chitanda nk) hawawezi kushindana na nguvu ya umma
 
......nyie machalii wa A-town msituyeyushe, kwani hamuwezi kuingia ndanik ya security perimeters za hao mafisadi (DED, OCD, Mary Chitanda) muwafanyizie?.........hakuna head hunters huko bongo?

Ila umenifurahisha san mkuu. wewe uko mbali halafu takuwa unaangalia kwenye TV au kusoma kwenye mtandao jinsi wenzenu wanavyopigwa virungu?
Kama UDOM jana vile!
 
Kwa kweli kwenye nchi inayofuata utawala wa sheria haya mambo yanatia madoa makubwa sana, Vyombo vya serikali vilipaswa kusimamia sheria na Taratibu zilizopo badala ya zenyewe kugeuka na kuvunja sheria kwa sababu tu ya kutaka kuwafurahisha waliopo madarakani,
Kuna haja ya kuchukua hatua, kuendelea kukaa kimya, vyombo hivi vitaendelea kuwanyanyasa Watanzania, Nilitegemea kauli kali kutoka kwa vyama vya kisiasa, kauli kali kutoka kwa vikundi vya haki za binadamu, nilitegemea kauli za kukemea vitendo hivi kutoka kwa mashirika mengine yanayojihusisha na haki wa wananchi, ZAIDI NILITEGEMEA KAULI KALI KUTOKA KWA BUNGE LA TANZANIA, na pengine nilitegemea waandishi wa habari kuonyesha kutopendezwa kwao na vitendo hivi (i.e. angalau wapate matamko kutoka kwa RPC, Mwema, Pinda, Wizara etc etc), PIA NILITEGEMEA WANANCHI WAONYESHE KUPINGA KWA VITENDO VYA UONEVU.
 
Back
Top Bottom