LEMA: Ni mwendawazimu tu atakataa Rasilimali za Tanzania zisilindwe

mjinga tu kwani wawekezaji wakiridhika na hali ndio wananchi wanaridhika na hali. wawekezaji sio wajomba zetu wanakuja kutafuta faida tu. sisi ndio tuna wajibu kuhakikisha uwekezaji unatuletea maemdeleo sio umaskini. kuliko umma kuletewa umaskini kwa faida ya vigogo fisadi bora wawekezaji jambazi wa uchumi wetu waondoke.
Bila kuwaondoa hao vigogo fisadi na CCM yao yenye mfumo huu wa usimamizi wa rasilimali za umma, tutaendelea Kutukana wawekezaji na kuwaita majina mbalimbali kama WAJOMBA na mengine kama hayo.
 
mjinga tu kwani wawekezaji wakiridhika na hali ndio wananchi wanaridhika na hali. wawekezaji sio wajomba zetu wanakuja kutafuta faida tu. sisi ndio tuna wajibu kuhakikisha uwekezaji unatuletea maemdeleo sio umaskini. kuliko umma kuletewa umaskini kwa faida ya vigogo fisadi bora wawekezaji jambazi wa uchumi wetu waondoke.
Mkuu hawa wawekezaji ni sisi ndio tunawafuata na kuwapa vivutio ikiwa ni pamoja na kuwaondolea kodi kadhaa. Tumeunda mpaka kituo cha uwekezaji ili kuratibu ujaji wao. Kama haitoshi viongozi wetu wamekuwa wakiwafuata huko kwao ili waje. Kumbuka hawa Nyerere aliwafukuza wakati huo wakiitwa mabepari na wanyonyaji kupitia Azimio la Arusha. Baada ya Nyerere kuondoka waliomfuatia wakavunja Azimio la Arusha kwanza kisha wakaanza kuwaita tena kwa jina tofauti la wawekezaji. Hivyo wao hawana kosa tatizo lipo kwenye sera zetu na sheria. Sasa wewe ukienda kumleta mwanaume mwenzako awe analala sebuleni ili akusaidie kutafuta chakula cha familia siku ukiwa hupo akaingia chumbani kulala na mkeo wa kulaumiwa ni nani? Ni wewe au yeye?!
 
Kwahiyo Ccm ni wendawazimu?

CCM ni wendawazimu sana tu,maana waliingia Kwenye hiyo mikataba wakiwa hoi kabisa wanashtuka pale walipopata ufahamu kumbe wajanja wameshawapiga siku nyingi,kutoka hospitali ya wendawazimu inabidi ruhusa ya Daktari Daktari mwenye ndiye mwekezaji sijui kama.atakutoa naona atakupa dawa uzidi kupoteza kumbukumbu
 
Nilichoona katika nusu clip hiyo ni Mh. Lema lengo KUU lake ni kulalama kwanin Upinzani usiachiwe ufanye siasa muda wowote.


Serikali ifanyie kazi malalamiko hayo.

CCM walifanya siasa ni sawa Upinzani mpaka 2020 kazi ipo
 
sasa hatutaki projo tu, kama mligomea bunge la katiba ni wakati muafaka sasa kugoma ili walete sheria hizi zibadilishwe na siyo maneno tu
 
kwani wawekezaji wakiridhika na hali ndio wananchi wanaridhika na hali. wawekezaji sio wajomba zetu wanakuja kutafuta faida tu. sisi ndio tuna wajibu kuhakikisha uwekezaji unatuletea maemdeleo sio umaskini. kuliko umma kuletewa umaskini kwa faida ya vigogo fisadi bora wawekezaji jambazi wa uchumi wetu waondoke.
umeshindwaje kuelewa hapa wewe!NAMNA YA KULINDA ndo iangaliwe,sio maccm yaingie mikataba na kupitisha sheria kwa vituko wakidhani wanawakomoa upinzani kumbe ni majinga yanayopiga makofi pasipo kuelewa.

Tumefika hapa kwa sababu ya ccm.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
Nini kifanyike wakati ule mswada unapita ccm mlikuwa mnapiga makofi na kusema ndiooooo
Nyau

Swissme
Swissme, nani kakwambia mimi ni CCM, Umejuaje kuwa nilikuwa napiga makofi.

Tatizo letu watanzania ni siasa taka za namna hii, ambapo maslahi ya kisiasa na vyama vyetu ni muhimu kuliko taifa letu. Najua huo si msimamo wa vyama vya upinzani. Tuliwachagua wapinzani ili waishauri serikali. Tunataka kuona wakitimiza wajibu wao halafu wananchi tutaamua nani ni nani kulingana na matendo yao.
 
Ningependa sana uhamiaji ufanye background check kwa wanasiasa wetu kuna baadhi ninaimani si WATANGANYIKA kabisa nilikuwa nadhani wakoloni waliweza kututawala na kutufanya watumwa kwa sababu duniani watu waliofanywa watumwa ni WAAFRICA NA WAISRAEL TU kwa sababu tulikuwa hatuna Elimu,

lakini sasa nimejua tatizo si elimu kwani leo tuna misomi kama Tundu lissu lakini bado tumefanywa watumwa wa kifikira ambapo ni utumwa mbaya zaidi ya ule wa kufungwa minyororo kwani utumwa wa kifikira ni kama ilivyo remote na TV mwenye remote ndio mwenye maamuzi kwa TV.

Tena misomi yenyewe ndio inanunulika kwa bei rahisi kuliko bei ya toyota vitz
 
Nini kifanyike wakati ule mswada unapita ccm mlikuwa mnapiga makofi na kusema ndiooooo
Nyau

Swissme
hapa haya majitu ya hivi unaweza ukatamini ubadilishane likawe hata msukule,wakati wanaelekezwa njia wanakataa alafu saivi linakuja hapa eti nini kifanyike,mala toa mawazo sio kulaumu haya pumba kabisa
 
Lema nani kamdanganya kuna mgogoro na ACACIA? ......wameshajua kosa lao na wanawapigia magoti serikali wawasameee
 
Back
Top Bottom