Lema, napingana na wewe! Kusamehe kunaumiza!!!

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
6,970
13,579
Bro @godblessjlema1 I beg to differ. Katika deductive reasoning, a conclusion is derived from the premises. Na premises za argument yako umezijenga kwamba JPM amesamehe kwa kuombwa msamaha. Alikosewa na January akaombwa msamaha. Akakosewa na Ngeleja akaombwa msamaha. Akakosewa na Nape akaombwa msamaha. Sasa kwanini Lissu asamehe BILA KUOMBWA MSAMAHA?

Nadhani ili hoja yako isiangukie kwenye Falacy of Circular argument (Petitio principii) ni vema ungeshauri Lissu nae aombwe msamaha.

Ni jambo jema kusamehe bila kuombwa msamaha, lakini kwa kuwa argument yako umeijenga kwa mtu aliyesamehe kwa kuombwa msamaha na akatangaza hadharani, basi Lissu nae aombwe msamaha hadharani kabla ya kusamehe.

Inadaiwa wale waliompiga risasi wengi wao hawapo (wengine ni wale wa Coco, mwingine alipata ajali Bagamoyo etc). Lakini aliyeagiza Lissu apigwe risasi yupo, aliyeorganize tukio zima akaenda hadi Dodoma na 'mahips' yake kuhakikisha Lissu anauawa kinyama yupo.

Hao ndio wanatakiwa waungame dhambi zao kwa MUNGU, kisha wamsubiri Lissu akirudi, wamfuate na kukiri hadharani mpango wao wa mauaji, kisha wamuombe msamaha. Hapo tutakuwa tumeitendea haki falsafa ya ukweli na maridhiano.

Sio mwingine akisemwa tu kwenye simu anaombwa msamaha na dunia inatangaziwa. Lakini mwingine amepigwa makumi ya risasi, akaharibika figo, miguu, mikono, akaharibika ini, akalala miaka miwili kitandani, akanyimwa matibabu, akafukuzwa ubunge, halafu leo asamehe tu kirahisi bila kuombwa msamaha wowote? No thank you.

JPM jana alisema kusamehe kunaumiza. Sasa kama yeye alitukanwa kwenye simu, ameombwa msamaha, lakini bado amemia kusamehe, vp Lissu aliyevuka bonde la uvuli wa mauti? Nadhani Lissu asisamehe bila kuombwa msamaha. Hiyo ni principle ya kiroho. Hata Mungu wetu huwa hatusamehi just automatic, ni mpaka tuende mbele zake tukiri na kuomba msamaha ktk roho na kweli. Kusamehe kunaumiza according to JPM.!

By Malisa G
FB_IMG_1568190593388.jpg
 
By Malisa GView attachment 1204242
Kama Nape alisema maneno makali namna hiyo basi ashukuru kwa kutovuliwa uanachama hadi sasa...... Naamini jina la rip baba yake limembeba!
 
wewe unaonekani ni mtu wa vinyongo sana, kusamehe au kutosamehe kwa Lissu ni juu yake yeye na roho yake, na Lema kamalizia vzr kabisa kwamba asamehe kwa FAIDA ya roho yake, kwenye biblia kuna kipengele kinasema mkiwapenda wale wawapendao na kuwachukia wanaowauzi je mwafanya ziada gani? Na usifananishe msamaha wa Mungu na wanadamu, leo huyo lisu akifa na hicho kinyongo hata mbingu anaweza asiione, mana kwanza hata hana uhakika nani hasa alihusika na lile tukio hicho kinyongo chake ni cha kuhisi tu kwamba ni fulani as if alimuona kwa sura na akathibitisha kwamba huyu na huyu walipanga mpango huu. Na wewe punguza vinyongo not gud for ur soul
 
Bro @godblessjlema1 I beg to differ. Katika deductive reasoning, a conclusion is derived from the premises. Na premises za argument yako umezijenga kwamba JPM amesamehe kwa kuombwa msamaha. Alikosewa na January akaombwa msamaha. Akakosewa na Ngeleja akaombwa msamaha. Akakosewa na Nape akaombwa msamaha. Sasa kwanini Lissu asamehe BILA KUOMBWA MSAMAHA?

Nadhani ili hoja yako isiangukie kwenye Falacy of Circular argument (Petitio principii) ni vema ungeshauri Lissu nae aombwe msamaha.

Ni jambo jema kusamehe bila kuombwa msamaha, lakini kwa kuwa argument yako umeijenga kwa mtu aliyesamehe kwa kuombwa msamaha na akatangaza hadharani, basi Lissu nae aombwe msamaha hadharani kabla ya kusamehe.

Inadaiwa wale waliompiga risasi wengi wao hawapo (wengine ni wale wa Coco, mwingine alipata ajali Bagamoyo etc). Lakini aliyeagiza Lissu apigwe risasi yupo, aliyeorganize tukio zima akaenda hadi Dodoma na 'mahips' yake kuhakikisha Lissu anauawa kinyama yupo.

Hao ndio wanatakiwa waungame dhambi zao kwa MUNGU, kisha wamsubiri Lissu akirudi, wamfuate na kukiri hadharani mpango wao wa mauaji, kisha wamuombe msamaha. Hapo tutakuwa tumeitendea haki falsafa ya ukweli na maridhiano.

Sio mwingine akisemwa tu kwenye simu anaombwa msamaha na dunia inatangaziwa. Lakini mwingine amepigwa makumi ya risasi, akaharibika figo, miguu, mikono, akaharibika ini, akalala miaka miwili kitandani, akanyimwa matibabu, akafukuzwa ubunge, halafu leo asamehe tu kirahisi bila kuombwa msamaha wowote? No thank you.

JPM jana alisema kusamehe kunaumiza. Sasa kama yeye alitukanwa kwenye simu, ameombwa msamaha, lakini bado amemia kusamehe, vp Lissu aliyevuka bonde la uvuli wa mauti? Nadhani Lissu asisamehe bila kuombwa msamaha. Hiyo ni principle ya kiroho. Hata Mungu wetu huwa hatusamehi just automatic, ni mpaka tuende mbele zake tukiri na kuomba msamaha ktk roho na kweli. Kusamehe kunaumiza according to JPM.!

By Malisa GView attachment 1204242Mimi nadhani lisu aasisamehe abaki na chuki.. Maana chuki itamsaidia zaidi. Ila ajue mabaharia wapo tuu.
 
wewe unaonekani ni mtu wa vinyongo sana, kusamehe au kutosamehe kwa Lissu ni juu yake yeye na roho yake, na Lema kama lizia vzr kabisa kwamba asamehe kwa FAIDA ya roho yake, kwenye biblia kuna kipengele kinasema mkiwapenda wale wawapendao na kuwachukia wanaowauzi je mwafanya ziada gani? Na usifananishe msamaha wa Mungu na wanadamu, leo huyo lisu akifa na hicho kinyongo hata mbingu anaweza asiione, mana kwanza hata uhakika wa nani hasa alihusika hicho kinyongo chake ni cha kuhisi tu kwamba ni fulani as if alimuona kwa sura na akathibitisha kwamba huyu na huyu walipanga mpango huu. Na wewe punguza vinyongo not gud for soul
Duh!!! Sorry mkuu, Mimi nimecopy na kupaste!
 
Bro @godblessjlema1 I beg to differ. Katika deductive reasoning, a conclusion is derived from the premises. Na premises za argument yako umezijenga kwamba JPM amesamehe kwa kuombwa msamaha. Alikosewa na January akaombwa msamaha. Akakosewa na Ngeleja akaombwa msamaha. Akakosewa na Nape akaombwa msamaha. Sasa kwanini Lissu asamehe BILA KUOMBWA MSAMAHA?

Nadhani ili hoja yako isiangukie kwenye Falacy of Circular argument (Petitio principii) ni vema ungeshauri Lissu nae aombwe msamaha.

Ni jambo jema kusamehe bila kuombwa msamaha, lakini kwa kuwa argument yako umeijenga kwa mtu aliyesamehe kwa kuombwa msamaha na akatangaza hadharani, basi Lissu nae aombwe msamaha hadharani kabla ya kusamehe.

Inadaiwa wale waliompiga risasi wengi wao hawapo (wengine ni wale wa Coco, mwingine alipata ajali Bagamoyo etc). Lakini aliyeagiza Lissu apigwe risasi yupo, aliyeorganize tukio zima akaenda hadi Dodoma na 'mahips' yake kuhakikisha Lissu anauawa kinyama yupo.

Hao ndio wanatakiwa waungame dhambi zao kwa MUNGU, kisha wamsubiri Lissu akirudi, wamfuate na kukiri hadharani mpango wao wa mauaji, kisha wamuombe msamaha. Hapo tutakuwa tumeitendea haki falsafa ya ukweli na maridhiano.

Sio mwingine akisemwa tu kwenye simu anaombwa msamaha na dunia inatangaziwa. Lakini mwingine amepigwa makumi ya risasi, akaharibika figo, miguu, mikono, akaharibika ini, akalala miaka miwili kitandani, akanyimwa matibabu, akafukuzwa ubunge, halafu leo asamehe tu kirahisi bila kuombwa msamaha wowote? No thank you.

JPM jana alisema kusamehe kunaumiza. Sasa kama yeye alitukanwa kwenye simu, ameombwa msamaha, lakini bado amemia kusamehe, vp Lissu aliyevuka bonde la uvuli wa mauti? Nadhani Lissu asisamehe bila kuombwa msamaha. Hiyo ni principle ya kiroho. Hata Mungu wetu huwa hatusamehi just automatic, ni mpaka tuende mbele zake tukiri na kuomba msamaha ktk roho na kweli. Kusamehe kunaumiza according to JPM.!

By Malisa GView attachment 1204242
Waliomuomba msamaha Magufuri wanajulikana pasipo shaka,sasa wewe unaleta hadithi za kwenye kahawa
Kama una ushaidi husio na shaka weka hapa jukwaani tuungane pamoja kuwataka waliomshambulia Lissu kuomba msamaha na hata kufungwa kabisa maana makosa Yao sio ya kusamehwa na Lissu peke yake
 
Back
Top Bottom