Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 6,970
- 13,581
Bro @godblessjlema1 I beg to differ. Katika deductive reasoning, a conclusion is derived from the premises. Na premises za argument yako umezijenga kwamba JPM amesamehe kwa kuombwa msamaha. Alikosewa na January akaombwa msamaha. Akakosewa na Ngeleja akaombwa msamaha. Akakosewa na Nape akaombwa msamaha. Sasa kwanini Lissu asamehe BILA KUOMBWA MSAMAHA?
Nadhani ili hoja yako isiangukie kwenye Falacy of Circular argument (Petitio principii) ni vema ungeshauri Lissu nae aombwe msamaha.
Ni jambo jema kusamehe bila kuombwa msamaha, lakini kwa kuwa argument yako umeijenga kwa mtu aliyesamehe kwa kuombwa msamaha na akatangaza hadharani, basi Lissu nae aombwe msamaha hadharani kabla ya kusamehe.
Inadaiwa wale waliompiga risasi wengi wao hawapo (wengine ni wale wa Coco, mwingine alipata ajali Bagamoyo etc). Lakini aliyeagiza Lissu apigwe risasi yupo, aliyeorganize tukio zima akaenda hadi Dodoma na 'mahips' yake kuhakikisha Lissu anauawa kinyama yupo.
Hao ndio wanatakiwa waungame dhambi zao kwa MUNGU, kisha wamsubiri Lissu akirudi, wamfuate na kukiri hadharani mpango wao wa mauaji, kisha wamuombe msamaha. Hapo tutakuwa tumeitendea haki falsafa ya ukweli na maridhiano.
Sio mwingine akisemwa tu kwenye simu anaombwa msamaha na dunia inatangaziwa. Lakini mwingine amepigwa makumi ya risasi, akaharibika figo, miguu, mikono, akaharibika ini, akalala miaka miwili kitandani, akanyimwa matibabu, akafukuzwa ubunge, halafu leo asamehe tu kirahisi bila kuombwa msamaha wowote? No thank you.
JPM jana alisema kusamehe kunaumiza. Sasa kama yeye alitukanwa kwenye simu, ameombwa msamaha, lakini bado amemia kusamehe, vp Lissu aliyevuka bonde la uvuli wa mauti? Nadhani Lissu asisamehe bila kuombwa msamaha. Hiyo ni principle ya kiroho. Hata Mungu wetu huwa hatusamehi just automatic, ni mpaka tuende mbele zake tukiri na kuomba msamaha ktk roho na kweli. Kusamehe kunaumiza according to JPM.!
By Malisa G