Lema, napingana na wewe! Kusamehe kunaumiza!!!

Akili bahati mbaya sana haiuzwi sokoni au madukani.
Inatisha sana na kusikitisha kwa mtu awaye yote to support Killers in this world!!!!!!!!!!!!.
Big shame to anyone of such clogged minds
Tell them!!! Bahati mbaya hawajui hii lugha uloitumia
 
Waliomuomba msamaha Magufuri wanajulikana pasipo shaka,sasa wewe unaleta hadithi za kwenye kahawa
Kama una ushaidi husio na shaka weka hapa jukwaani tuungane pamoja kuwataka waliomshambulia Lissu kuomba msamaha na hata kufungwa kabisa maana makosa Yao sio ya kusamehwa na Lissu peke yake
Utakua unaishi nje ya nchi wewe!!! Kwani umesahau Nape aliwahi kana hiyo clip akiwa AZAM TV?!??!
 
Ndugu yangu nadhani wewe upo ndani ya nchi Ila unajua kizungu tu Kiswahili hujui jaribu pitia tena yale mahojiano kisha Rudi jamvini tuendelee kujadili kwa mapana zaidi
Yametafsiliwa tayari?!?? Maana umesema sijui kiswahili lugha mama
 
Hivi mzee mzima uombwe msamaha, uonyeshe kwenye televisheni ili iweje. Maana msamaha au kitubio huwa ni siri kati ya watu wawili. Hata kanisani anaposali Jiwe kuna vibanda maalum kwa ajili ya toba kati ya padri na muungamaji, hata anayefuatia kwenda kuungama hawezi kusikia umeungama nini? Sasa mzee mzima anapokuja kwenye kamera aonekane anaombwa msamaha inaingia akilini kweli? Huo sio msamaha ni udhalilishaji na kutaka sifa zisizo na tija Anyway January na Nape mnavuna mlichopanda goli la mkono na uchakachuaji matokeo mlioufanya Mikocheni dhidi ya watanzania, sasa karma is bitch Mungu anawalipa kwa mliowafanyia watanzania kuwasukumizia mtu ambaye hawakumchagua, aisee watanzania wana laana kali sana na bado.
 
Anazidi kuwabatiza kwa Moto
 
Kwa nini ukiomba msamaha lazima utangazwe hadharani?, hapo ndipo pananiacha hoi

Kweli mkuu mi Huwa nashangaa pia. Ni kama kesi ya Lissu. Badala ya kufanyika kimya kimya mahakamani, ye mwenyewe anaanza kutangaza hadharani kuwa atafungua kesi. Mara mtulie. Mara tutakata rufaaa wahi mkuu. Tuwashangae hawa watu.
 
Bro @godblessjlema1 I beg to differ. Katika deductive reasoning, a conclusion is derived from the premises. Na premises za argument yako umezijenga kwamba JPM amesamehe kwa kuombwa msamaha. Alikosewa na January akaombwa msamaha. Akakosewa na Ngeleja akaombwa msamaha. Akakosewa na Nape akaombwa msamaha. Sasa kwanini Lissu asamehe BILA KUOMBWA MSAMAHA?

Nadhani ili hoja yako isiangukie kwenye Falacy of Circular argument (Petitio principii) ni vema ungeshauri Lissu nae aombwe msamaha.

Ni jambo jema kusamehe bila kuombwa msamaha, lakini kwa kuwa argument yako umeijenga kwa mtu aliyesamehe kwa kuombwa msamaha na akatangaza hadharani, basi Lissu nae aombwe msamaha hadharani kabla ya kusamehe.

Inadaiwa wale waliompiga risasi wengi wao hawapo (wengine ni wale wa Coco, mwingine alipata ajali Bagamoyo etc). Lakini aliyeagiza Lissu apigwe risasi yupo, aliyeorganize tukio zima akaenda hadi Dodoma na 'mahips' yake kuhakikisha Lissu anauawa kinyama yupo.

Hao ndio wanatakiwa waungame dhambi zao kwa MUNGU, kisha wamsubiri Lissu akirudi, wamfuate na kukiri hadharani mpango wao wa mauaji, kisha wamuombe msamaha. Hapo tutakuwa tumeitendea haki falsafa ya ukweli na maridhiano.

Sio mwingine akisemwa tu kwenye simu anaombwa msamaha na dunia inatangaziwa. Lakini mwingine amepigwa makumi ya risasi, akaharibika figo, miguu, mikono, akaharibika ini, akalala miaka miwili kitandani, akanyimwa matibabu, akafukuzwa ubunge, halafu leo asamehe tu kirahisi bila kuombwa msamaha wowote? No thank you.

JPM jana alisema kusamehe kunaumiza. Sasa kama yeye alitukanwa kwenye simu, ameombwa msamaha, lakini bado amemia kusamehe, vp Lissu aliyevuka bonde la uvuli wa mauti? Nadhani Lissu asisamehe bila kuombwa msamaha. Hiyo ni principle ya kiroho. Hata Mungu wetu huwa hatusamehi just automatic, ni mpaka tuende mbele zake tukiri na kuomba msamaha ktk roho na kweli. Kusamehe kunaumiza according to JPM.!

By Malisa GView attachment 1204242

Ogopa sana mambo rahisi maishani mwako. Kama makonda ambaye mnamsema kaanza zamani aache kummaliza kisayansi dar aende dodoma. Why na hasa kwa motive gani. Mnamuoverrate Lissu wakubwa. Kwa lipi hasa alilolifanya mpaka afe. Tena kishamba hivyo. Kama angetakiwa kufa angekufa hata Ubelgiji na angeonekana mbowe ndo kampiga usicheze kabisa na Tz. Mambo wamejifunza Urusi. China. Naaaaa. Mantiki itusaidie tukomae kifikra.
 
Akili bahati mbaya sana haiuzwi sokoni au madukani.
Inatisha sana na kusikitisha kwa mtu awaye yote to support Killers in this world!!!!!!!!!!!!.
Big shame to anyone of such clogged minds
Ushajinyea kwenye suruali vua,fua jisafishe sio kuendelea kulaumu aliyekupa chakula kingi ukavimbiwa.
Your just a bunch of idiot support him.
 
Back
Top Bottom