Lema, nakuomba ubadilishe muelekeo wa siasa za Arusha

mbn povu linakutoka mm makala si yangu sasa chuki kwangu ya nn
...usikasirike mkuu, nafikiri lengo lake ni umpelekee salaam aliyekutuma. kama umejituma mwenyewe basi upokee tu salaam zako, maana Raia Mwema ilikuwa na makala nyingi lakini wewe kwa mapenzi yako ukachagua hii.
 
wewe ni mchumia
tumbo,lema kakunyima ukatibu ofisini kwake imekuwa shida,katu usitegemee sisi wakazi wa arusha tumchukie lema kwa vithrid vyepesi namna hii.
sio lazma kila uzi uchangie jf itapoteza umaarufu wake kwa post kama hz
 
Wewe TUTUSA uliyeleta huu uzi kama ana siasa nyepesi nenda Jomboni kwake ukawaambie wapiga KURA wake huu ujinga wako! au panda jukwaani na Mh.Lema tuone kama utahimili umahiri wake! Acha UTASA WA AKILI.
 
nimekuambia nioneshe tusi nililokutukana unabaki unarukaruka kama kuku anayetaka kutaga... Si umesema nimekutukana..
uwe unajiegemeza kwenye hoja juu ya lema na siasa azifanyazo za darasa la 7 na kukimbila kuleta matusi nashangaa kwann mods hawakupigi ban
 
...kweli mkuu huyu Tedo angekaa kimya. Mbona wewe kibaraka wa Zito lakini upo kimya.

I don't have price tag, and pliz mimi sio kibaraka wa Zitto. M off cdm msitake kunilink na matatizo yenu ya kipuuzi.
 
Ndgu chahari ametoa ushauri. Hvyo ni vema tukatambua jambo hilo, unajua suala la mh. Lema na mh. Zitto watu wamelikuza tu lakin cha muhimu ilikuwa ni mh. Zzk kukanusha na kutolea ufafanuzi wa kukutana na TISS ilikuwa kwa ishu ipi? Na hayo mapesa aliyokuwa anatumiwa kupitia westen union yalikuwa ya nini? Hapo ndipo tungemlaumu Mh. B.L. bt yote kwa yote jambo hili wangelijenga kupitia vikao.
 
uwe unajiegemeza kwenye hoja juu ya lema na siasa azifanyazo za darasa la 7 na kukimbila kuleta matusi nashangaa kwann mods hawakupigi ban

Mkuu hebu nioneshe hilo tusi ambalo nimekitukana....Huenda labda matusi ninayoyajua mimi ni tofauti na unayoyajua wewe..
 
I don't have price tag, and pliz mimi sio kibaraka wa Zitto. M off cdm msitake kunilink na matatizo yenu ya kipuuzi.

Ha ha ha ha.....Nani asiyejua wewe ni kibaraka wake namba moja....Nyinyi Lumumba buku saba FC mna tabu sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom