Lema, nakuomba ubadilishe muelekeo wa siasa za Arusha

Lumumba buku FC Lema ni kiboko yenu......Kwanini Kapuya Kabaka katoto cha miaka 14 na kukiambukiza Ukimwi.....Inamaana ccm wote nyinyi ni Wabakaji..?

Hawa vifaranga bhana wenyewe wanadhani kila mwenyewe tofauti na kwao wanadhani ni Lumumba pole usipende kuruhusu mtu akushikie akili yako
 
mbn povu linakutoka mm makala si yangu sasa chuki kwangu ya nn

Kwani nani asiyejua kuwa attack zako zote ni dhidi ya Lema.....? Jana umekuja na ki-thread chako cha kijinga masikini hata Page mbili hazikufika......Uliileta kwa mbwembwe zote ukaishia kula za uso....
 
Lema kazivalia akili kwenye viatu kwahiyo hazifanyi kazi kabisa amevurugwa kwa kiasi kikubwa na kitendo alichofanyiwa juzi kule arusha ndiyo kavurugwa zaidi.
 
Kwani nani asiyejua kuwa attack zako zote ni dhidi ya Lema.....? Jana umekuja na ki-thread chako cha kijinga masikini hata Page mbili hazikufika......Uliileta kwa mbwembwe zote ukaishia kula za uso....
mkuu ukiwa mwana jf matusi si staili nzuri ya kujibu uzi hembu kosoa hoja kwa hoja na si hoja ya nguvu yani matusi
 
Lema naona anakukuna vilivyo...Unalala unamuota.....Halafu nahisi hapo Lumumba umepewa kazi ya kumkabili Lema.....Nyie ni panya wadogo sana tutawanyoosha tuuu....

CCM chama cha Wabakaji
CCM chama cha Wazinzi......Upo?
Jamaa huongea ujinga utadhani aliolewa akaachika kila sehemu wewe ni matusi hata waliokuzaa wanakza kweli sijui ni mafunzo ya bavicha au chadema kwa ujumla.
 
mkuu ukiwa mwana jf matusi si staili nzuri ya kujibu uzi hembu kosoa hoja kwa hoja na si hoja ya nguvu yani matusi

Unajua matusi wewe....? Onesha tusi ambalo nimekutukana......Tatizo nyie watoto wa Kapuya mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa.....

CCM chama cha Wazinzi..
 
Jamaa huongea ujinga utadhani aliolewa akaachika kila sehemu wewe ni matusi hata waliokuzaa wanakza kweli sijui ni mafunzo ya bavicha au chadema kwa ujumla.

We endelea kupoteza muda wako na Chadema wakati Chadema inachanja mbuga kama faru....

CCM chama cha Wazinzi..
 
Unajua matusi wewe....? Onesha tusi ambalo nimekutukana......Tatizo nyie watoto wa Kapuya mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa.....

CCM chama cha Wazinzi..
mkuu jifunze kuwa hili jamvi linaheshimika sana yani GREAT THINKER MBN UNAKUA POOR THINKER UNASHUSHA HAZI YA JAMVI
 
Lema atawaumiza ccm awamu hii. Kila wakati vichwa vinamuwaza Lema.

Lema ndiyo habari ya mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom