Lema na wenzako ilani ya CHADEMA mwaka 2015/2020 ukurasa wa 53, mkasome vizuri

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao

Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
 
Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
Sasa ndio umeandika nini mkuu..??
Kwani ungeiandika hapa hiyo ilani, ungepungukiwa nini..!!
Ama labda umeleta huu Uzi ili mjadili wewe na huyo Lema..??

Ebu mkisha pombeka, muwe mnajitahidi kuto andika chochote humu ndani...
 
MTU mwenye uwezo mzuri wa kufikiri,hawezi kuwa mfuasi wa chadema

Makonda alisema; “ninaomba radhi ya kuchelewa kuhudhuria kongamano hili kwa wakati, nilikuwa nifuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani kwangu, na niwaeleze tu katika kuhakikisha miradi ya
maendeleo inatelekezwa, tumepata fedha Dola za Marekani milioni 120 kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya mafuriko Bonde la Msimbazi, tunafumua Daraja la Jangwani na kulinyanyua kwa mita 300.”

Nini maana ya uwezo mzuri wa kufikiri?!
 
Makonda alisema; “ninaomba radhi ya
kuchelewa kuhudhuria kongamano hili kwa
wakati, nilikuwa nifuatilia utekelezaji wa
miradi ya maendeleo mkoani kwangu, na
niwaeleze tu katika kuhakikisha miradi ya
maendeleo inatelekezwa, tumepata fedha
Dola za Marekani milioni 120 kwa ajili ya
kukabiliana na changamoto ya mafuriko
Bonde la Msimbazi, tunafumua Daraja la
Jangwani na kulinyanyua kwa mita 300.”

Nini maana ya uwezo mzuri wa kufikiri?!

Huu nao ni upuuzi

Vipimo vya m, cm,mm,ft, inch, km ni changamoto sana kwa jamii ambao sio mafundi au wahandisi

Kama una judge mtu kwa kukosea, una shida mno
 
Wapigaji tu hao. Huyo lema bado anasumbuliwa na kisulisuli cha kuamini taarifa za kigogo 2014.
 
Nimefanya utafiti wabunge wote wa upinzani ambao wanakijita zaidi kwenye masuala ya kitaifa hawafanyi vizuri kwenye majimbo yao.

Ukianzia Tundu Lisu,Zitto Kabwe,Lema,,Mnyika,Mdee,Heche,Matiko nk
 
Nimefanya utafiti wabunge wote wa upinzani ambao wanakijita zaidi kwenye masuala ya kitaifa hawafanyi vizuri kwenye majimbo yao.

Ukianzia Tundu Lisu,Zitto Kabwe,Lema,,Mnyika,Mdee,Heche,Matiko nk
Tundu Lisu ni mbunge wa jimbo gani?!
 
Back
Top Bottom