Wabunge wetu Nassari na Lema tunawaamini tumewatuma kutuwakilisha na mnafanya kazi yenu vizuri?
Kama kweli Lema ana ushahidi wa bomu la SOWETO mbona hakuuweka wazi bungeni badala ya kug'ang'ania majina ya mafisadi kutafuta promo? Pia kuhusu Nasaari ufisadi alofanya kula posho bila safar una baraka za chama chetu? Matusi hayajengi