MbungeWaPhilips
Senior Member
- Oct 17, 2013
- 186
- 15
Jembe langu lema mungu yuko nawewe usiogope mtangulize yeye utaya shinda yote yupo akutiae nguvu rais wa arusha soma zaburi 121 mstari wa 1 mpaka wa 2 mungu yko kazini
Ndio luga za chadema izo mtaendelea kuwa wapinzani milele.
..lazima tukukaushe tu mtimbichi,hii ngoma inaitwa force kingi,pm kawekwa mtu kati mpaka kachemka,chezeya cdm weye...!!Hakuna walichotikisa mbona, hilo swali wameambiwa waandike kwa maandishi sio wanabwabwaja tu kama wameshapiga gongo zao asubui.
Dhana za siasa za kijinga zilizopitwa na wakati!
Mnatafuta mbinu mbaya mpaka mnauwa Watu ili mkidhohofishe Chama Fulani! Haipendezi ata siku moja!
Watumikieni wananchi Kwa haki mtapendwa!
Ni sawa na nyie Yule jamaa yenu aliekua anatembea na Yule muathirika Wa tindikali kuuaminisha umma Kua ni matendo ya upinzani!
Siasa za kijinga kabisa!
Kilewo ndio anatuhumiwa kuhusika na lile tukio na tayari keshapanda kizimbani na kesi inaendelea kuunguruma.
Mungu atawaumbua watenda maovu hao, huwezi kufanya uhalifu halafu ukaanza kufanya unyama kumshinikiza tena mtoto ili kusingizia wengine!
Kumwaga damu walianza zamani sana ili kukiokoa chama, unamkumbuka Korimba na Kombe?
Swala la Mabomu ya Soweto na Olasit laibuka tena bungeni, baada ya Kijana aliyebambikizwa kesi na kuteswa akilazimishwa kumtaja Lema kuwa ndo aliyemtuma kulipua mabomu hayo! Kijana yupo Bungeni tayari kumwaga ushahidi wake. Waziri mkuu amekosa majibu asema wampelekee katika maandishi.
Baada ya mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kukoswakoswa na bomu la Soweto yeye na Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kuua Watoto wadogo (3) na kiongozi wa chadema (1) na kuacha makumi bila viungo kama miguu, mikono. Sasa jeshi la polisi kwa kushirikiana na Mwigulu Nchemba liko kwenye harakati za kumubambikia Mhe. Lema kuwa yeye ndiyo aliyetuma mtu kwenda kulipua bomu kwenye kanisa la Olasti (St. Joseph Moyo safi) bahati mbaya sana kwa CCM na jeshi lake na bahati mzuri Kwa mhe. Lema na Chadema ni kuwa kijana huyo aligoma kabisa kusema/kutenda dhambi hiyo ya kusema uongo licha ya kwamba aliwahi kugombana na Mhe. Lema na akawaambia nina ugomvi na Lema lakini siwezi kumsingizia kitu kama hicho kijana huyo aliminywa sehemu za siri na kutishwa lakini alisimamia msimamo wake huo na akawaambia wakati wa mlipuko huo kijana(Nico) alikuwa gerezani kwa kesi nyingine.. Ndipo jeshi la polisi kwa aibu wakamwachia kijana huyo kwasasa yuko bungeni na alikuwa tayari kutoa maelezo hayo...
Lakini Waziri mkuu alimtaka Nasari akaandike maelezo ili ampelekee, kasimama Godbless Lema kukazia swali hilo Makinda akamwambia hairuhusiwi kurudia swali Lema akasema ana masikitiko makubwa kuwa yeye baada ya kukoswakoswa sasa anaandaliwa kesi ya kulazimishwa kuwa yeye alituma watu kuja kulipua bomu kanisani na baadae kwenye mkutano wa chadema soweto.
Jiulize! Ni kesi Ngapi ambazo mmewafungulia wapinza ziwe za kubambika Au za kweli mlizozishinda? Ata ya Huyo Kilewo mtashindwa!
Au niambie ni Kiongozi gani Au mbuge gani Wa upinzani mliwahi kumshinda mahakani? Hii inaonesha kesi nyingi si halali na Ndo maana hamshindi!
Hiivi LiverpoolFC, Arushaone, sweetlady, Passion Lady, Preta mmepona nyie huko na hilo bomu maana ni kali sana
Jembe langu lema mungu yuko nawewe usiogope mtangulize yeye utaya shinda yote yupo akutiae nguvu rais wa arusha soma zaburi 121 mstari wa 1 mpaka wa 2 mungu yko kazini
Hakuna walichotikisa mbona, hilo swali wameambiwa waandike kwa maandishi sio wanabwabwaja tu kama wameshapiga gongo zao asubui.
Hakuna walichotikisa mbona, hilo swali wameambiwa waandike kwa maandishi sio wanabwabwaja tu kama wameshapiga gongo zao asubui.
..lazima tukukaushe tu mtimbichi,hii ngoma inaitwa force kingi,pm kawekwa mtu kati mpaka kachemka,chezeya cdm weye...!!
Hebu kwanza tujikumbushe kauli ya serikali ambayo ilitolewa na waziri Lukuvi, baada ya bomu hilo kulipuka, kuwa ni mipango ya Chadema, kwa kuwa walijua kuwa hawana nafasi ya kushinda kata yoyote kati ya hizo nne zilizokuwa zikigombewa za madiwani.Uliona povu jingi alilotoa Mwigulu kabla ya sakata hilo bungeni alipotafuta pa kujishikiza kumshinikiza Mbowe, bado utelezi unaendelea atakuja angukia pua soon.
Mwigullu hawezi kuchomoka kwenye hili! Kama poli-ccm wangekuwa makini walitakiwa wawe wamesha mkamata yeye na Nape kwa kauli zao za kuashiria mauwaji siku moja kabla ya mauwaji yenyewe.
Mtu yotote makini ataunganisha nukta na kuona ushiriki wa ccm kwenye kulipua bomu. Kwani hata wakisema wana kana kuwa hawaja lipua halafu tukalinganisha ripoti ya serikali iliyofichwa juu ya mauwaji ya Januari 5 wataweza kurukia wapi wakati ripoti imesema kabisa kuwa polisi walihusika na walidhamiria kuuwa?!!