Lema na Nassari tulieni, uchaguzi mdogo tunapita Chadema tena

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
Baada ya madiwani wa chadema kununuliwa inasemekana na hiko chama chao cha ccm na kuachana na nafasi zao za udiwani, ni wazi uchaguzi mdogo kuziba nafasi zao unakuja!

Nipende kuwaomba mbunge Lema na Nassari kuwa, tuwachieni sisi wananchi kazi ya kuwaonyesha hawa CCM kuwa hatuwataki na uchaguzi huu utadhihirisha hili kwani tutachagua upinzani kama tulivyozoea na hili litakuwa ni pigo kuu takatifu hawatakuja lisahau

Ccm inahitaji kuadhibiwa na wananchi katika hili, hakika mtashangazwa na kura zitakazopigwa mtashindwa hata kuiba!

Swali ni je
Hao madiwani wapya wa Chadema tutakao wachagua, nao mtawanunua kama mnavyofanya sasa?
 
Aiseeee
Matatz ya sasa
Ni chanzoo kikuu cha upungufu wa nguv za..k...me
Yaaan tuwaze kazi ,tuwaz mishahara,tuwazee siasa daaaah!!
Bora Somalia au DRC
 
mijizi haitashindwa kulazimisha ushindi wao wana maguvu dola !! na tume waliyoweka wao !!
 
Back
Top Bottom