Lema na Msigwa watakuwepo mkutano wa jangwani?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Naomba kujua kama hawa watu wawili nnaowazimia Godbless Lema wa arusha na Rev.Hon.Peter msigwa wa iringa kama watakuwepo jangwani sambamba na Dr wa ukweli na mbowe.ANAEJUA ATUJUZE.
 
Pia ndandi ya jangwani atakuwepo SHIBUDA kamanda wa UKWELI asiyeogopa
 
Kuhusu Msigwa sina uhakika kama atakuwepo au la, maana jana alikuwa anahojiwa na radio Ebony ya Iringa akasema kwa sasa yupo Dar ila ana safari ya kuelekea USA. Kama safari yake itakuwa baada ya huo mkutano anaweza kuwepo Jangwani lakini kama safari ipo leo au kesho mapema basi hatakuwepo.
 
Back
Top Bottom