Lema na Mawazo (CHADEMA) watikisa Hanang...

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu !

Kwa taarifa nilizopata toka kwa Mawazo ni kuwa wamefanya mkutano mkubwa Hanang.

Huu ni muendelezo wa kuendelea kuwa elimisha Watanzania kuwa hapa ndipo ccm walitarajia kutufikisha.

Huu ndo ujumbe alio nitumia Kamanda Mawazo ktk simu yangu " NAMSHKRU MUNGU KWA KUNIPA UBONGO WA KUFIKIRI NA MKONO WENYE NGUMI YA KUPIGANA . ZAIDI SANA KWA KUNIPA SAUTI AMBAYO NAAMINI ITAWAKOMBOA WATANZANIA . SIKU SAUTI YANGU IKINYAMAZISHWA NA MAFISADI ,SAUTI ZA RISASI ZITAONGEA. ALPHONCE MAWAZO 19/11/2012. "

Kwa yeyote aliyeko huko tunaomba atujuze yaliyo jili na picha zaidi.
 
Ungemuuliza yeye aliyekutumia sms hii akuhabarishe yaliojiri huko
 
olevaroya

Nawaamini Makamanda! Mengi ya kusema hakuna zaidi ya MUNGU kuwaongeza nguvu nasi tukiwatakia kila la Kheri na kutegemea Updates toka kwako!
 
Last edited by a moderator:
Twanga kotekote ..kamata fisi hadi yote hiyo nasumbua akiri sana.
 
Ndiyo wakuu !

Kwa taarifa nilizopata toka kwa Mawazo ni kuwa wamefanya mkutano mkubwa Hanang.

Huu ni muendelezo wa kuendelea kuwa elimisha Watanzania kuwa hapa ndipo ccm walitarajia kutufikisha.

Huu ndo ujumbe alio nitumia Kamanda Mawazo ktk simu yangu " NAMSHKRU MUNGU KWA KUNIPA UBONGO WA KUFIKIRI NA MKONO WENYE NGUMI YA KUPIGANA . ZAIDI SANA KWA KUNIPA SAUTI AMBAYO NAAMINI ITAWAKOMBOA WATANZANIA . SIKU SAUTI YANGU IKINYAMAZISHWA NA MAFISADI ,SAUTI ZA RISASI ZITAONGEA. ALPHONCE MAWAZO 19/11/2012. "

Kwa yeyote aliyeko huko tunaomba atujuze yaliyo jili na picha zaidi.

Mawazo ni nani?
 
Back
Top Bottom