Lema: Mmewaza siku Lissu, Mbowe, Mdee, Lema, Zitto wakiunga juhudi mkono nyie walala hoi mtasikilizwa na kusemewa na nani? Slaa anamtetea nani?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Anaandika GODBLESS J. LEMA (MB) Arusha

Vuta Picha Vyama vyote vikafutwa katika kipindi hiki kikabaki CCM tu chama ulichonacho wewe.

Then hao uliokua unawaona hawafai akina Mbowe, Mdee, Heche, Nassary, Lema n.k wakaona ni UJINGA KUFA unatetea watu wasiojua kujisaidia wenyewe. Wakajiuliza Kwani tunakwama wapi? Acha na sisi tukaungane na CCM mtesi wao na sisi tuishi vizuri tu.

Then Wabunge wote katika Majimbo yote wakatokea CCM kila kitu kikaamuliwa ndani ya Chama.

Mbowe akasaidiwa kujenga Bilcanas mpya maisha yakaendelea kama tunavyoona watu wanasamehewa kubomolewa nyumba zao wakijiunga na CCM.

Mbowe, Mnyika, Lijualikali tayari wanatambulika na system ya Uongozi hapa nchini. Kama DC wa Dodoma anaejitambua kama karai amepata vipi hawa wenye makarai yao watakosa?

Then fikiria wewe Mtanzania wa kawaida utaishije na atakusaidia nani tena kuhoja kuhusu pesa yako?

Kama walipokuwepo watu wa kuhoji pesa yako bado walikua watu wanakula kwa kujificha japo kweli zinaliwa. Vipi wakikosekana?

Hivi mshawahi kufikiria madhara ya hizi Juhudi za Kudhoofisha Upinzani au huwa mnashangilia tu?

Mtaishi kama "Mbwa Koko" na hutatambulika tena kama mfuasi wa CCM watatambuana viongozi kwa viongozi. Who is going to deal with you?

Leo Viongozi wa CCM wanawanyenyekea kidogo wananchi ni kwa sababu wanajua kuna Uchaguzi awamu ijayo.... Na Pengine Jimbo likaenda Upinzani. Ikibaki CCM pekeake nani atakunyenyekea wewe? Nani atakuja kujua hata unaishije?

Mshafikiria?

Hamtamuona Polepole tena! Anakuja kueneza nini? Watakua ofisini tu wakilipana mishahara. Watawachagulia kila kitu na hakuna cha kuwafanya.

Mshafikiria?

Ni ngumu kuelewa kwa kuwa haijatokea na mnaangalia leo tu.

Huwa natamani hii hali itokee hata kwa muda wa mwezi mmoja tu.

Mtakopwa hadi mishahara mtasema wapi? Nani atawapigania kipindi hicho hata kina Lissu wanakula mema ya nchi tu.

Hicho ndo kipindi hata ajira mpya kuna zingine itabidi wapate kwanza watoto wa viongozi na wengine mtapata zitakazobakia.

Hicho ndo kipindi mtapigwa hadi fimbo makazini, nadhani Dalili za Makofi zimeanza na hakuna wa kuwatetea.... Ukienda kushtaki makahamani unawakuta wale wale. Unapeleka kesi na unafungwa wewe. Wa kupiga kelele itakua ni familia yako tu wengine wote wanaogopa.

Akina Mbowe kipindi hicho watakua wanakula kuku kwa mirija tu.

Mtawaita na hawataitika tena. Ipo sababu kubwa sana ya Kuilinda Demokrasia na vyama Vya Upinzani. Walioianzisha na Kuitetea kwa Damu hawakua wajinga they focused on their future.

Hatubembelezani hapa kuilinda demokrasia ya kweli maana kesho ni yetu sote.

Kila Unachotaka kukishabikia kipime kwanza madhara yake ya baadae.

Watu mnatamani vyama vya Upinzani vyote vife au vifutwe ila ipo siku mtavililia na hamtavipata.

*Tafakari*

_Siku njema_
 
Mchoma kete tu huyu, hana jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story ya zamani sana, kama lema kaiandika leo kai copy.. Kwahyo hatutaki hadithi!

wakati ukuta.
 
Hivi kinachowafanya wanasiasa Tanzania kujiona wao ndio wanaotutetea na kutusaidia sisi wananchi wa kawaida ni kipi?kwamba bila wao basi wengine wataangamia?kwanini hawa wanasiasa wetu wanajiona wao ndio wajuvi na waerevu saana katika kila kitu ndani ya hii nchi?wanamdanganya nani kuwa wao wapo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi hii na si yao wao na makundi yao?
Hivi leo hii kuanzia wabunge,wakuu wa mikoa na wilaya nk,waanze kulipwa mishahara kama ya walimu wa shule za msingi,hakuna gari wala hizo posho zao,ni wangapi kati yao wataendelea na hizo harakati zao za kutusemea sisi na kutupigania?.....
Hebu punguzeni hizo dharau zenu basi!!!
 
tunakataa
Kila Unachotaka kukishabikia kipime kwanza madhara yake ya baadae.

Watu mnatamani vyama vya Upinzani vyote vife au vifutwe ila ipo siku mtavililia na hamtavipata.

*Tafakari*

_Siku njema_
Upinzani upo siku zote. unacholilia wewe ni kushika madaraka basi huna unaemtetea na wala huo uwezo huna. Tunahitaji upinzani wenye focus na sio porojo tuu za kutafuta mkate kwa familia zenu. Hatupingi upinzani tunakataa upinzani wa hovyo.
 
Well there will be few options left, hypothetically speaking of course........., coup d'etat (neat and quick), guerrilla insurgency (very difficult and deteriorating, the initial preparations could be done on a friendly neighbouring country and launch assaults from there ), endless mass protest (accompanied with casual violence, people's power!!), Direct intervention by the international community (if they are interested).
If all fails, leave the f*cking country and go on to seek a better life somewhere else.
 
Hus
Hivi kinachowafanya wanasiasa Tanzania kujiona wao ndio wanaotutetea na kutusaidia sisi wananchi wa kawaida ni kipi?kwamba bila wao basi wengine wataangamia?kwanini hawa wanasiasa wetu wanajiona wao ndio wajuvi na waerevu saana katika kila kitu ndani ya hii nchi?wanamdanganya nani kuwa wao wapo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi hii na si yao wao na makundi yao?
Hivi leo hii kuanzia wabunge,wakuu wa mikoa na wilaya nk,waanze kulipwa mishahara kama ya walimu wa shule za msingi,hakuna gari wala hizo posho zao,ni wangapi kati yao wataendelea na hizo harakati zao za kutusemea sisi na kutupigania?.....
Hebu punguzeni hizo dharau zenu basi!!!
Husomeki bora ungesepa!
 
Upinzani wa leo ni biashara ya kibepari tu, sitaki kurejea mfano wa dr slaa na lowassa 2015. Kitu kibaya kuhusu upinzani wa tanzania ni kukosekana kwa dira, falsafa na imani ya vyama vya upinzani. Ndani ya upinzani kuna mapapa wachache wanaofaidi ruzuku na misaada ya wahisani wa nje.

Haiwezekani chama cha upinzani kisubiri mgombea urais wa chama chao apitakane mara baada ya kutemwa ndani ya chama kingine. Ina maana hawana uwezo wa kuandaa viongozi, na hawana difined philosophy yao.
pamoja na madhaifu ya CCM ila ukilinganisha na upinzani, wao wana demokrasia nzuri kuliko wapinzani. Mbowe yupo madarakani since 92, lipumba hivo hivo, mbatia hivo hivo, mrema, john cheyo, dovutwa nk. Hivi vyama sio taasisi ni vya watu binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tu sasa muunge mkono juhudi,mjihakikishie kurudi bungeni,mpambane mkiwa ndani,sababu hamko tayari kutawala kama alivyosema masha,
 
Kwani China Wanaishije tuanzie hapo??
... China ukikwapua au kuchezea mali ya umma ni risasi; viongozi mbalimbali toka Chama cha Kikomunisti wametangulizwa kuzimu kutokana na makosa ya rushwa, uhujumu uchumi, ulevi wa madaraka, n.k. Kule hakuna kuremba au stori za "kusitiri" makaburi!

China, chini ya Chama cha Kikomunisti imesomesha vijana wengi sana Ulaya na Marekani ambao baadaye wamekuja kuwa hazina kuu ya taifa lao; wameipeleka China mbele kwa kila nyanja - mikopo ya elimu ni kwa wote hakuna ubaguzi hata nje utapelekwa ni kichwa chako tu; scholarships haziangalii uso wa mtu bali brain yake.

Lumumba kwa vituko hamjambo, mnataka kujifananisha na China!
 
Kwa Kasi Ya Magufuli ya Kutupeleka Uchumi wa Kati Wa Viwanda Tutakua Kama China Soon
 
... hebu weka masterplan hapa tuione Mkuu! Masterplan ambayo akija Rais mwingine lazima aiendeleze. Hivi Mkukuta/Mkurabita viliishia wapi? Kilimo Kwanza nacho? Nakuhakikishia bila kuwa na plan ya kueleweka kama taifa akija mwingine atauwa yote ya Magufuli.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom