Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,106
- 9,213
Lema na aisome namba taratibu
Sasa ndo umeandika niniWasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.
Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.
Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
Tupo weng sana na hatutakubalUmoja wakati tupo wengi? Huko shuleni mlienda kujifunza ujinga?
kwani kashahukumiwa? kesi yake mrejesho upoje? lini inatajwa tena?
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake......
Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .
Asema mawakili wapumzike mpaka dolla litakapoamua kuachiwa kwake.
kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.Lema sasa akitoka huko utamtisha nini?
Utamtisha Jela Tena?
Hahahahhaha
Big Mistake kumfunga mwanasiasa....Fuatilia duniani pote
atumie umoja kivipi sasa wakat tuko wengi?Tumia umoja na si wingi
Akifungwa tu tayari sifa ya kuwa kiongozi inapotea,,,Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme
Mnamwongezea tu kura 2020 kama hamjuianyooshwe tu hakuna namna.
kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.
Akifungwa tu tayari sifa ya kuwa kiongozi inapotea,,,