Lema: Mawakili msihangaike tena

Wasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.

Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.

Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
Sasa ndo umeandika nini
 
5c79cef4b2ff1410c58e762a0a8a2c2d.jpg


Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake......

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dolla litakapoamua kuachiwa kwake.
kwani kashahukumiwa? kesi yake mrejesho upoje? lini inatajwa tena?
 
Tuombe ALLAH ampe uhai Mh LEMA ikitokea akifia kule iwe kwa uwezo wa ALLAH au binadamu inaweza ikawa mwanzo wa machafuko nchini hata watawala hawatatawala kwa amani tuombe yasitokee
 
Lema sasa akitoka huko utamtisha nini?

Utamtisha Jela Tena?

Hahahahhaha

Big Mistake kumfunga mwanasiasa....Fuatilia duniani pote
kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.
 
Naona Lema na wafuasi wa Chadema wanajaribu kuficha madhahifu ya mawakili wao na kusingizia kua dola.. Nimeona Msando kalieleza vizuri ili
 
kaka jela sio kuzuri, unasema hivo sababu sio ww uliye huko jela, na uhakika kitendo cha kukaa ndani lema anaisoma namba vilivyo, naye lema kazidi kosa alilofanya ni kubwa sana na kutangaza njama na nia za mkulu wa nchi atakufa kabla ya mda fulani! yaani aliweka na time frame kabisa duh alafu anajificha nyuma ya mgongo wa ndoto.

Wewe ndio unadhani hivyo

Only cowards wanafikiri kama wewe

Kwani jela ni kwa watu fulani?...hata wewe kesho unaweza kujikuta jela tu...huko pia kuna maisha

Lema sio mara ya kwanza kwenda jela...na alishawahi kujipeleka hata yeye mwenyewe...kama mnadhani mnamkomoa Lema kwa kumpeleka Jela Mnakosea

Hivi mfano angeota huyo bwana ako atakuwa rais wa afrika angekamatwa? Get your senses mkuu...tumieni akili

Agani...Kisiasa kumfunga mwanasiasa ni kumpandisha level Yake
 
Back
Top Bottom