Lema: Mawakili msihangaike tena

Tuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani


swissme
Ya kweli haya? Au maneno ya kuanua ngoma juani??
 
suala hilo ni kukomoana tu,ila naye lema aache mambo ya kujibizana na dola,ni vema awe anajikita na kuwatumikia wana Arusha kikamilifu kuliko kila siku yeye kujipata na malumbano na viongozi wa ccm,kwani mbona hata baadhi ya wabunge wengine wa ukawa na chadema hawana haya matatizo anayopata lema?
 
serikali imekosea sana, hii itapaisha sana upinzani maana sasa Lema anaungwa mkono hata na vijana wa ccm

Wasiojitambua labda, hata huko selo watu wanauliza umekuja na kesi gani sio hiyo ya Lema ya Kiboya sana anajazia watu nafasi kwa kupenda sifa. Mwenyewe katupa silaha chini ili ajue kuna watu wamepinda zaidi yake serikali lazima imnyooshe yeye nani mpaka awe analeta ujinga huo huo kila siku.

Yaani watu wanaenda mahakamani kufatilia kesi ya kijinga kuliko zote na anamawakili wa chama chake wakati watu wanazo kesi ngumu wanashindwa kupata mawakili wa kuwawakilisha.

Upinzani utapaa kwa kuletea watu maendeleo na sera mbadala za kutatua ugumu wa maisha na kero za watu sio kwa ujinga wa Lema.
 
Awaaga ndugu zake na familia yake na mtoto wake......

Asema hakuna haja ya kuangaika na kesi isiyosimamiwa na mahakama Bali inasimamiwa na dola .

Asema mawakili wapumzike mpaka dolla litakapoamua kuachiwa kwake.

Ha ha ha, hela ya kuwalipa jamaa itakuwa imekata!

Nadhani hiki ndicho Magu anachotaka, kitakachofuata ni Lema kukubaliana na maagizo yao.
 
mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema kwamba,Lema amejiwekea sifa kubwa sana kuwa miongoni mwa viongozi wanaotetea haki duniani, huyu atafananishwa na Mandela
Lema ni Mandela dhidi ya kaburu chama gamba akitoka tumbadili jina lema = mandela
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom