Lema kuvuliwa ubunge - diversion kutoka kwenye budget 2012-2013

Acha propaganda chafu wewe.Hizo mbinu wazijua wewe Marekani nani kskwambia wana michezo ya kijinga hivyo?Angalieni umaskini wenu siyo sifa kujilinganishia mahali ambapo hamfananii hata chembe.Siasa zenu chafu siyo za nchi zilizoendelea.Kwa hiyo usiwadanganye watu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom