Lema kuongea mda huu kuhusu kamati ya Maliasili juu ya operation tokomeza

Mbunge machachari wa Arusha mjini kupewa mda wa kuzungumzia juu ya operation tokomeza.

Na ameomba Mkuchika nae aingie kwenye kapu la kuondoka.

Ambatiza Mkuchika kuwa sio kwamba ni bomu tu bali ni kipindupindu
 
Lema is absolutely right! JK ni rais mbovu ambaye hajapata kuwako katika historia ya Tanzania!
 
Ivi ameacha ujambazi, na aliuwa wangapi damu itamtesa na yeye.

Kama ni jambazi na muuaji na bado watawala na vyombo vya dola wanamkodolea macho bila kumchukulia hatua stahili basi watawala na vyombo vyote vya dola watakuwa ndiyo majambazi na wauaji/wamwagaji wakubwa wa damu za raia wasio na hatia...
 
Magamba yana hali gani ndani ya bunge au sasa nayo yamechoka yanataka Pinda mzigo namba moja ang'oke?
 
Nimemsikiliza Lema amesema ukweli uliopo na uliokwisha kutendeka ,taifa hili limefikia pabaya sana kwa matendo yanayoendelea kutendeka na kutendwa na watumishi wa uma.
 
Mbunge machachari wa Arusha mjini kupewa mda wa kuzungumzia juu ya operation tokomeza.

Na ameomba Mkuchika nae aingie kwenye kapu la kuondoka.

Ambatiza Mkuchika kuwa sio kwamba ni bomu tu bali ni kipindupindu
Mkuu rekebisha hapa,amesema OLE MEDEYA sio mzigo tu ni KIPINDUPINDU.Lema ni noumer.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom