Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mbunge machachari wa Arusha mjini kupewa mda wa kuzungumzia juu ya operation tokomeza.
More update will come
More update will come
Bangi mbaya sana...
Iwapo bangi ni mbaya mbona ndiyo imekuwa biashara kuu ya CCM?Bangi mbaya sana...
Ivi ameacha ujambazi, na aliuwa wangapi damu itamtesa na yeye.
Mkuu rekebisha hapa,amesema OLE MEDEYA sio mzigo tu ni KIPINDUPINDU.Lema ni noumer.Mbunge machachari wa Arusha mjini kupewa mda wa kuzungumzia juu ya operation tokomeza.
Na ameomba Mkuchika nae aingie kwenye kapu la kuondoka.
Ambatiza Mkuchika kuwa sio kwamba ni bomu tu bali ni kipindupindu
Bangi mbaya sana...
Ivi ameacha ujambazi, na aliuwa wangapi damu itamtesa na yeye.
Mkuu rekebisha hapa,amesema OLE MEDEYA sio mzigo tu ni KIPINDUPINDU.Lema ni noumer.
Kapanick hajui anachangia