Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue | Page 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Francis12, May 19, 2017.

 1. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 4,618
  Likes Received: 8,941
  Trophy Points: 280
  Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
  Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.

  My take =
  Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria

  Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."
   
 2. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #161
  May 20, 2017 at 2:21 AM
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 4,240
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Wazee wa sumbawanga waitwe kusaidia laana dhidi ya huyo RC
   
 3. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #162
  May 20, 2017 at 2:23 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Hamna neno la maendeleo ya aina yoyote yanayotoka kwenye kinywa cha huyu mtu kama siyo kulaani tu! Namwomba sana asome ZABURI YA 109!
   
 4. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #163
  May 20, 2017 at 2:27 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Ni wewe tu na watu waliokuzunguka, never generalize
   
 5. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #164
  May 20, 2017 at 2:33 AM
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 4,240
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Subra ya nini? Kwani kwenda kuhani msiba kutoa rambirambi ni kosa la jinai? Kwenye katiba ipo hiyo? Watu wanateseka jela wanaumwa na kunguni wanakunywa maji ya sumu ww unataka subra? angekuwa na kaka yako ama baba yako yupo jela ungetaka subra?
   
 6. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #165
  May 20, 2017 at 2:35 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Ni wewe tu na watu walio wazunguka never generalize!
   
 7. TL. Marandu

  TL. Marandu JF-Expert Member

  #166
  May 20, 2017 at 2:35 AM
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 1,832
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  Si Yule Mbunge Ally Kessy aliyesema Kuku zilipe Kodi, Paka na Mbwa. Na sadaka na Rambi Rambi zilipiwe Kodi alimgusa sana Ba-Bashite Mpaka akamhonga na Gari kwa Kodi za WTZ wasioruhusiwa Kumpangia kitu?
   
 8. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #167
  May 20, 2017 at 2:35 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Acheni kulaani
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #168
  May 20, 2017 at 2:35 AM
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,622
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  This is too much na kwa hili uongozi wa juu wa CHADEMA unapaswa kujiuzuru kwa kushindwa kuchora mstari......... Now the situation is alarming....
   
 10. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #169
  May 20, 2017 at 2:36 AM
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 4,240
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa mkoa Mrisho Gambo asomewe Elibadili tu ili apate fundisho kama magesa Mulongo ambaye alijifanya mkuda lakini leo hii kawa house boy kwa wahindi.
   
 11. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #170
  May 20, 2017 at 2:36 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Acheni kulaani soma zaburi 109
   
 12. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #171
  May 20, 2017 at 2:37 AM
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 4,240
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Wanatakiwa waende kushitaki mahakama za haki za binadamu za kimataifa ili waje wamulike huko ndipo serikali itashituka na kupunguza Udikteta.
   
 13. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #172
  May 20, 2017 at 2:39 AM
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 4,240
  Likes Received: 2,606
  Trophy Points: 280
  Unyama wanaotendewa lazima laana imshike RC
   
 14. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #173
  May 20, 2017 at 2:42 AM
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 7,551
  Likes Received: 3,993
  Trophy Points: 280
  Shauri yenu!
   
 15. ngalakeri

  ngalakeri JF-Expert Member

  #174
  May 20, 2017 at 8:09 AM
  Joined: Jul 17, 2014
  Messages: 390
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Unafanana na jina lako.
   
 16. k

  kenyamanyori JF-Expert Member

  #175
  May 20, 2017 at 8:21 AM
  Joined: Feb 9, 2014
  Messages: 563
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  JAMANI VIONGOZI WENGINE WANA LAANA ZA UKOO HAMUWEZI KUJUA. KITENDO CHA KUKAMATA WATU NA RAMBIRAMBI SIO CHA KAWAIDA. NA KAMA SERIKALI INAKIVUMILIA PIA YA KUSIKITIKIA.
   
 17. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #176
  May 20, 2017 at 8:26 AM
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 19,648
  Likes Received: 9,411
  Trophy Points: 280
  Issue Siasa za Chuki na Visasi litaliangamiza Taifa
   
 18. d

  detected Member

  #177
  May 20, 2017 at 8:28 AM
  Joined: Mar 17, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 25
  Vitendo vya hawa ma-RC vinafanya rais achukiwe na asieleweke
   
 19. G

  Glas JF-Expert Member

  #178
  May 20, 2017 at 8:43 AM
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 278
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Haiko mbali
   
 20. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #179
  May 20, 2017 at 8:48 AM
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,184
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Hoja mfu
   
 21. A

  Akasankara JF-Expert Member

  #180
  May 20, 2017 at 8:50 AM
  Joined: Feb 28, 2015
  Messages: 1,184
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Mijitu hiyo ni ipi? Gamboshi au hao waliokamatwa?
   
Loading...