Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema: Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Francis12, May 19, 2017.

 1. Francis12

  Francis12 JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Sep 30, 2016
  Messages: 6,560
  Likes Received: 17,031
  Trophy Points: 280
  Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless J Lema
  Kuna uwezakano wa Mayor/ wenzake kuwepo mahabusu mpaka wiki ijayo. Lakini kila mtu ajue atavuna anachopanda . Only time will tell.

  My take =
  Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria

  Hakika huu ndio "UONGOZI UNAOACHA ALAMA."
   
 2. titimunda

  titimunda JF-Expert Member

  #141
  May 19, 2017
  Joined: Nov 26, 2014
  Messages: 5,052
  Likes Received: 5,487
  Trophy Points: 280
  Gambo na mwenziwe washukuru wako tanzania,huu ujinga wangekuwa wanaufanyia latin america au middle east tungekuwa tushawasahau saiz wanaitwa marhum
   
 3. Mzalendo2015

  Mzalendo2015 JF-Expert Member

  #142
  May 19, 2017
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 2,184
  Likes Received: 2,701
  Trophy Points: 280
  Najaribu kufikiria kwamba hivi huu Utawala(siyo uongozi)ukija ondoka madarakani wataenda kuishi nchi gani? Je, ni Tanzania hii hii kweli? Hapa namaanisha JPM,Makonda,Gambo na wapuuzi wote wa Chama cha Mafisadi-CCM! Miaka 5 au 10 itapita tu maana siku hazigandi! Tutakutana mtaani tu na kitaeleweka!
   
 4. S

  Sandinistas JF-Expert Member

  #143
  May 19, 2017
  Joined: Jul 5, 2013
  Messages: 810
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Frankly speaking, siku hizi nimeanza kupoteza feelings; kuna watu nikisikia wamefikwa na mabaya siguswi tena kama ilivyokuwa zamani kwa sababu tu ya mambo mabaya yanayofanywa na watu wenye madaraka. Najiuliza, hivi hawa wanataka nini hasa?
   
 5. a

  abuumwasiti20 JF-Expert Member

  #144
  May 19, 2017
  Joined: Oct 19, 2016
  Messages: 289
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 80
  Yaan lema anapenda sana kujiingiza kwenye mambo ya vifo namambo yanayohusu damu huyu atakua jin au shetan mla watu kwann misiba2 hapo bado hajawasaidia wale walikufa kwenye maadamano amehamia kwenye hii ajali huyu jamaa sio bure napenda sana damu
   
 6. s

  siyoi koroi Senior Member

  #145
  May 19, 2017
  Joined: Sep 6, 2016
  Messages: 178
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 60
  Nasema mungu anajibu. Chadema wanawekwa ndani na kesi zote tunashinda tunarudi uraiani tunaendeleza mapambano . CCM Wanauawa na kuzikwa na hapo ndiyo mwisho wa maisha yao.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #146
  May 19, 2017
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 165,362
  Likes Received: 451,415
  Trophy Points: 280
  Kwa siasa za Arusha CCM inawafyagilia cdm
   
 8. b

  baraja zephania Member

  #147
  May 19, 2017
  Joined: May 8, 2017
  Messages: 99
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mda mwingi huwa na kaa nakuumiza kchwa sana juu ya mambo yanayo jtokeza tz sijui kwakweli mungu katulaani wapi ila atusamehe bule.yaani ata kama hujui kusoma ata picha huoni? kwa mtindo huu tutegemee kuvuna tunacho kpanda.tusiwe wanafiki kwenye maswala ya msingi hii sio haki hakiya mungu.
   
 9. W

  Wamabere JF-Expert Member

  #148
  May 19, 2017
  Joined: Jul 19, 2016
  Messages: 622
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Sawa
  kabisa siasa hata kwenye misiba aah umaarufu gani huu
   
 10. lwiva

  lwiva JF-Expert Member

  #149
  May 19, 2017
  Joined: Apr 17, 2015
  Messages: 1,700
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Ndugu huyo siyo mzima kichwani wenye akili tulisha lijua ilo mapema keep watching
   
 11. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #150
  May 19, 2017
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 2,012
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  tanzania ndo tumefika hapa, ya kibiti yanaweza kuanza Arusha, sikutegemea magufuli ndo awe kiongozi wa namna hii
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #151
  May 19, 2017
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 6,356
  Likes Received: 7,589
  Trophy Points: 280
  Yaani kweli kosa la "kukutwa na rambirambi" linamnyima mtu dhamana na great thinker anaona ni sawa tu?! Kuna tatizo mahala. Hata kama tumetofautiana mitizamo ya kisiasa, bado sisi sote tutabaki kuwa Watanzania.
   
 13. L

  Lavrov Sergey JF-Expert Member

  #152
  May 19, 2017
  Joined: May 14, 2017
  Messages: 403
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 60
  Hyo troup ya journalists ilikuwa ya nn ktk kutoa rambirambi?
   
 14. boaz mwalwayo

  boaz mwalwayo JF-Expert Member

  #153
  May 19, 2017
  Joined: Jan 27, 2015
  Messages: 4,637
  Likes Received: 3,114
  Trophy Points: 280
  Dhamana ya mtu unaizuia kisa alienda kutoa rambirambi ndaah tunakoelekea Tanzania ni kubaya sana yale mauaji ya kibiti yanasababishwa na chuki kama hizi mnafikiri mliowaweka ndani awana Ndugu na rafiki tusifike uko
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #154
  May 19, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 15,835
  Likes Received: 2,438
  Trophy Points: 280
  naamini huko CDM hakuna kiongozi ambaye ahawahi kuiona jela au mahabusu. akikuwaga zitto pekee.
   
 16. U

  UNKOWN Member

  #155
  May 20, 2017
  Joined: Apr 5, 2017
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #156
  May 20, 2017
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,417
  Likes Received: 3,918
  Trophy Points: 280
  Watu wa Arusha mna unyonge wa kipuuzi sana, nyie kila siku mnaonewa na vitoto vidogo kama Gambo mnasema mnamuachia Mungu wakati ni upuuzi mtupu. Haya kuna Magesa Mulongo aliwanyanyasa na kusababisha mauaji saizi hana nguvu yoyote, ni mtu huru, mnashindwa hata kutuma vijana wakamle kiboga kutoa fundisho. Endeleeni na unyonge wenu nyie masai digitali mnaokula samaki, Morani halisi asingevumilia huu upuuzi
   
 18. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #157
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,956
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Rambirambi kwa sasa ni sawa na Dawa za kulevya ukigundulika na mkuu wa mkoa anatoa Amri unawekwa ndani zaidi ya saa 48 kinyume cha sheria Pasipo kufikishwa mahakamani.
   
 19. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #158
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,956
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  yaani wamezidiwa na ujanja na watu wa kibiti Lindi
   
 20. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #159
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,956
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Ndugu zao marafiki zao watanzania wenye Upendo wasiopenda Udikteta wote wapo nyuma yao hizi chuki hazitamalizika leo lazima wakitoka jela wamlaani huyo Mkuu wa mkoa mpaka atoke mshipa
   
 21. u

  ushuzi.1 JF-Expert Member

  #160
  May 20, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 6,956
  Likes Received: 5,257
  Trophy Points: 280
  Waende gambia wakamsomee Elibadili huyo RC
   
Loading...