Lema kufanya mkutano leo saa tisa kwenye viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro

Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
637
640
Wadau ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama,

Mtaani jina la Kichuya limetamalaki kulingana na jinsi anavyoziadabisha timu zinazokutana na Simba. Lakini kwa Arusha mjini watu wanamfananisha mbunge wao (Lema) kama mchezaji Kichuya na kwa wanasiasa anafananishwa na Nelson Mandela.

Leo hii ndugu Lema pamoja na timu nzima ya madiwani wa jiji la Arusha watakuwa katika viwanja vya shule ya msingi Ngarenaro. Mitaani wapiga kura wake wanatamani kumsikia na kumuona Kichuya wa Arusha leo.

Ieleweke kuwa huyu ni mwanasiasa kijana ambaye ni jasiri wa kupindukia na asiyekuwa tiyari kunyamazishwa na dola kwa jinsi yoyote ile na kumbuka tutakuwa na operation ya " mama mchape mwanao asiishabikie na wala kuiunga mkono CCM".

Karibuni katika viunga vya mji wa Arusha leo hii.

By kamanda wa Kiriba kwa sasa Arusha kuhakikisha Lissu anakuwa rais wa TLS.
 
Musiache kuleta update bila kusahau picha. Nawatakieni mkutano mwema wenye amani na kutatua matatizo ya wanaarusha. Msisahau kama kutakuwa na redio inayoenda mubashara mtupe taarifa ili tufatilie

C.c nanyaro, arusha one,crash ,earthmover
 
Kwa hii operation mh! "" Mama mchape mwanao asiishabikie na Wala kuiunga mkono CCM".....
 
Shujaa wa Arusha Godless Jonathan Lema leo ataongea na watanzania kupitia mkutano wa hadhara utafanyika viwanja vya Shule ya msingi Ngarenaro.
 
Back
Top Bottom