Lema jifunze, huu utawala wa visasi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
ni ushauri ukufikie hapo kisongo.

jifunze alivoambiwa shein na magufuli issue ya maalim seif

jifunze yanayotokea bukoba

jifunze waliovunjiwa hananasif na sasa kivule

jifunze wanayofanyiwa cuf dhidi ya bwana yule.

chukua tahadhari, najua unssoma kitabu cha Mandela kuhusu ile safari ndefu kuelekea Uhuru

siku zote nakupinga ila kwa utawala huu solidarity ni muhimu.

just reflect sir.
 
Serikali zenye mlengo wa-kidikteta zina-maintain power through crime and violance.

Haya yanayotokea ndiyo mwanzo tu huko tunapoelekea chuki itatawala kila kitu.

Kama ikitokea serikali ikaendelea kuboronga kwenye uchumi basi itazidi kutumia dola kunyamazisha watu wanaopinga. Harisi tu kugundua hili.
 
u nailed it
 
1480780280117.jpg
 
ni ushauri ukufikie hapo kisongo.

jifunze alivoambiwa shein na magufuli issue ya maalim seif

jifunze yanayotokea bukoba

jifunze waliovunjiwa hananasif na sasa kivule

jifunze wanayofanyiwa cuf dhidi ya bwana yule.

chukua tahadhari, najua unssoma kitabu cha Mandela kuhusu ile safari ndefu kuelekea Uhuru

siku zote nakupinga ila kwa utawala huu solidarity ni muhimu.

just reflect sir.

Mleteni huku Segerea (DSM) tumfundishe kazi huyo Muhuni!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom