Lema awapa Mamiss kadi na wajiunga rasmi CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema awapa Mamiss kadi na wajiunga rasmi CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by never, Jun 19, 2011.

 1. n

  never JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tukio hili lilifanyika Jumamosi tarehe*11.06.2011*katika Hotel ya Impala*Arusha*ambapo Mh. Mbunge alikabidhi kadi kwa Washiriki Kumi na Tano (15) wa shindano la Miss IAA na Mr IAA - Institute of Accountancy Arusha, na kuwahimiza wawe wazalendo kwa nchi yao, Katika tukio*hilo*Mh. Mbunge aliambatana na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Arusha Mjini Rashid Magoma na Mwenyekiti wa ArDF, Elifuraha Paul Mtowe na pia alipata chakula cha jioni wa Shiriki hao Pamoja na wageni wengine waioalikwa.
  * lema.jpg
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Safi sana
   
 3. m

  muhimili Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo naye kama ni madawa ya kulevya bas yamemwasili mpaka mamiss hana nyimbo tena
   
 4. Rocket

  Rocket Senior Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kanda hataki mchezo kila mahali yupo
   
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ili tuikomboe Tanzania tunapaswa kuwa na waathirika wa siasa/mageuzi kama Lema, sasa wewe sijui unataka siasa ifanywe kwa style ipi, ''HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE'' na kina karibia kueleweka
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 7. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe acha upuuzi kwani mamisi sio watu,dharau mbaya sana,ndiyo mana kumbe nyie CCM mnatudharau sisi maskini,mmejaa ubaguzi.
   
 8. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapambano muda wote,siku zote,nguvu ya uma haikuwahi kushindwa,LEMA ni mpiganaji wa ukweli,FREEDOM IS COMING.
   
 9. m

  mareche JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we ndo huna nyimbo kafie mbali na magamba yako
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Kama madawa ndo yanamfanya Lema awe fighter that way, then I'd rather be an addict, we si unaprotection ya magamba.
   
 11. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Good work kwakukua na kuendelea kwa chama. Lakini je hao anaowapa kadi wamesadiki kukipa chama ushindi? Au wanachukua kama ukumbusho na picha za mapambo kuwa "siku ya shindano lile la umiss tulikuwa na Lema mbunge wa chadema"
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  swafi sana kaka Lema
   
 13. a

  arasululu Senior Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani anajiharibia ile mbaya,ye badala atatue matatizo yanayotukabili sisi kama vile barabara,umeme,majalala huko mitaani ye yupo tu bize na mamiss,ok bwana ndo viongozi wetu hao.
   
 14. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Kaka Chadema ukiwa mbunge hutelekezi chama unaendeleza Chama pamoja na kazi zote za ubunge. One thing at time.
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Nikikumbuka suala la Nakaaya Sumari nakosa moyo wa kuwakubali hao mamiss kama ndo wamekubali kweli au ni kudanganywadanganywa tu.

  kiasi fulani huwa siwaamini kama wana uwezo wa kufanya maamuzi yasiyo legea.
   
 16. F

  FUSO JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Ukishaikubali CHADEMA tayari by default umekuwa mpiganaji - wasiwasi wangu hawa 15 kama watatendewa haki na kamati ya Ludenga kwenye zoezi la kumtafuta mlimbwende mkuu?.
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  Yule fisadi Felex Mrema 2liyemg'a2a hapa Arusha mjini alikaa muda gani? Tangu 2000-2010 alifanya nini zaidi ya kujilimbikiza tu? Leo utashangaa wa2 mnanung'unika CDM hawafanyi lolote ingali mbunge ana miezi 7 tu tangu amng'atue lile fisadi,Sasa nitawashangaa wa2 wanaolalama maendeleo haionekani. Ukiangalia Bunge bado linaendelea hebu 2weni na subira bila shaka ni wakati wa ukombozi sasa. 2nategemea mazuri toka CDM.
   
 18. s

  shreak Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Mimi naungana na ww kinachohitajika ni kumuunga mkono kwani ameonyeshania, mwendo ni huohuo usirudi nyuma Lema shida ya magamba yamekomaa sana lakini usijali yatavulika tuu watake wasitake....hata mimi nipeni kadi ya cdm jamani nitaipataje???
   
 19. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kamanda wa ukweli, kamanda at work, kamanda we salute you mkuuu...ikiwezekana mpaka magereza tukagawe kadi kwa wafungwa...
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Welldone kamanda God jonathan lema!
   
Loading...