Uchaguzi 2020 Lema ashtushwa na mpango wa msimamizi wa uchaguzi Arusha kubandika wapiga kura hewa laki 1

Ni rahisi sana unachukua daftari la kupiga kura unalinganisha na orodha ya wapiga kura iliyobandikwa kwenye mbao kama idadi inalingana au la!! Ukikuta kuna majina ya wapiga kura kwenye mbao yameongezeka tofauti na kwenye daftari la kupiga kura ujue mmepigwa tayari,

Kuhusu vituo hewa,mawakala wote wanapewa orodha halali ya vituo vya kupigia kura ila ukikuta kuna kituo kimeongezwa ambacho hakipo kwenye orodha ya kupigia kura ujue hicho ni kituo hewa na kitatumia kutengeneza kura hewa ambazo zitaingizwa kwenye kujumlisha kura hapo nako ukiona hivyo vituo ambavyo havipo kwenye orodha ya vituo halali vya kupigia kura ujue tayari mmepigwaaaaaaaa
Zote hizo ni nadharia tu.
 
Hakifi Ng'ooo utaki kufaa!

Lissu anawanyima usingizi.

Subirini Oct 28, mbinu zenu zote tunazijua na tunazifanyia kazi.

vyama vya upinzani vipo vingi dogo, infact ni vema wakaungana wakawa na nguvu kuliko hawa mbuzi wa ufipa
 
Back
Top Bottom