Lema ashinda Arusha mjini (confirmed)

kuwa makini uwe unapost na data

Matokeo kwa ujumla ni kama ifuatavyo;
1.Philemon Olais Mollel wa CCM kura 35,907 sawa na asilimia 34.4
2.Navoi Mollel ACT-Wazalendo kura 342 sawa na asilimia 0.3
3.Zuberi Mwiny Hamis CUF amepata kura 106 sawa na asilimi 0.1
4.Mkama Rashidi Jaralia NRA amepata kura 43 sawa na asilimia 0.04
5.Godbless Jonathan Lema Chadema kura 68,848 sawa na asilimia 65.9
 
Aksante sana mkuu kwa kumfundisha namna ya kuleta habari humu JF. Pia mwambiye aedit na hicho kichwa cha habari kuwa; Aliyekuwa mb wa Arusha, Mh. Lema Godbless, arudi bungeni kwa kishindo.Acheni huo wivu na wenye nyota zao
 
lema tena.Jamaa huwa akifika mwanza tunamkubali kinouma kama uongo muulize magesa mwana wa mulongo kilicho mtoa arusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom