STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 807
- 622
Live mlimani tv & Star tv. Wamebana wameachia
Live mlimani tv & Star tv. Wamebana wameachia
kuwa makini uwe unapost na data
Matokeo kwa ujumla ni kama ifuatavyo;
1.Philemon Olais Mollel wa CCM kura 35,907 sawa na asilimia 34.4
2.Navoi Mollel ACT-Wazalendo kura 342 sawa na asilimia 0.3
3.Zuberi Mwiny Hamis CUF amepata kura 106 sawa na asilimi 0.1
4.Mkama Rashidi Jaralia NRA amepata kura 43 sawa na asilimia 0.04
5.Godbless Jonathan Lema Chadema kura 68,848 sawa na asilimia 65.9