Lema aonya juu ya Muswada wa Rasilimali

Uangalizi wa Rasilimali ungewekwa chini ya ofisi mbili ya Bunge na Raisi kila moja awe na Veto, Ukiweka kwa ofisi moja peke yake ya Rais au Bunge, Akijakutokea rais asiye mzalendo ni hatari, na ukiweka chini ya bunge peke yake Lobby inaweza kuleta madhara!. Kwa hiyo ilitakiwa rasilimali ziwe chini ya Uangalizi wa Bunge na ofisi ya Raisi kwa pamoja!

Kwa jinsi katiba ya sasa inavyompa rais mamlaka makubwa, hivi bado tunamrundikia madaraka kweli?

We are puting all eggs in one basket, shauri yetu huko mbeleni tumpate Rais corrupt, atatuuza!
 
Kuna watu hapa duniani hawataki kabisa kuona ustawi wa jambo lolote. Na hili hawalifanyi kwa bahati mbaya bali ni makusudi tu ya kiuchoyo na kibinafsi ili asifanikiwe yeyote ikibidi hata yeye mwenyewe. Kundi hili limejaa wanaccm ambao sidhani kama ni raia halali wa nchi hii kwani kila jema la nchi yeye kwao ni chukizo. Tuchukueni tahadhari kubwa kwa watu wasiopenda ustawi wetu. Lema kashauri vema na ulikuwa wakati muafaka wa kumuunga mkono. Hebu badilikeni ninyi ccm.
 
Back
Top Bottom