johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Wale mnaomtembelea naomba mumuulize maana kila aletwapo mahakamani huwa anakuwa na neno la Mungu (Biblia) mkononi.
Sheria ichukue mkondo wake lakini na yeye aitumie fursa hii kuwahubiria Injili ya kYesu Kristo wanyonge na masikini waliomo humo gerezani.