Ktk kipindi ambacho hutakiwi MTU kuogopa lolote nikipindi hiki...nafurahi kuona ofisi ya DPP haimuogopi MTU na nafurahia zaidi kuona MTU binafsi nambunge hamuogopi MTU/au taasisi ikienda hovyoohovyoo kuisema ijirekebishe.....nadhani muda wakuelewana ufike
Sent using Jamii Forums mobile app
DPP makini utumia njia sahihi kuliko kuaibisha taaluma yakeKamanda mfu kashindwa kusimama kwenye msimamo, kaamua kujificha
CCM ndo kipimo chako? Wakiwa wapuuzi nawe unakuwa hivyo?Mbona CCM kutwa wanaenda kuwaomba misaada mikopo? CCM mnaomba omba mpaka mfalume wa Morocco awajengee uwanja wa soka Dodoma kwani CCM ni wapuuzi kutegemea Wachina na wazungu? Wajibie CCM tuone jibu lako
Chama kimoja haiwezekani sababu bila misaada hawawezi.Labda vibaki vyama vya msimu Kama nccr,tlp,udp kuwaada mabeberu.Huna ukweli hapa maana inaelekea unamtetea DPP tu ili upate uteuzi kumbuka miezi imesalia michache kuingia October mpate kufanya uchakachuaji ubaki na mfumo wa chama kimoja CCM na bunge kuwa butu mtunge Sheria DPP awe boss mkubwa zaidi ya hata Jaji mkuu Mwanasheria mkuu, swali kwako wewe je? ni haki DPP kuitisha vyombo vya habari kuhumukumu Lema? je? ni haki DPP kujimwambafy? je? ni haki DPP kuwaweka watu jela miaka kibao kisha kuwafutia mashitaka kuwa hawakuwa na Hatia? je? ni haki kwa wewe Msukuma kumtetea msukuma mwenzako? Naibu Rais Daud Bashite Msukuma DPP Msukuma na wewe Msukuma sidhani kama mtaacha Tabia ya kuteteana
DPP makini anatumia njia gani? Ila mwambie atajificha hadi lini?DPP makini utumia njia sahihi kuliko kuaibisha taaluma yake
Lema tulia acha mchecheto.
Unazidi kuharibu tu wala hamna cha maana unachokiongea kwa sasa.
Wewe uliichafua serikali hadharani na dunia nzima ilisikia kupitia media.
Sasa unataka serikali ikae kimya bila kutoa ufafanuzi kwa wananchi eti kesi iko mahakamani?
Kama wewe ni waziri kivuli wa mambo ya ndani.mbona hukutumia njia muafaka kuwasiliana na waziri au vyombo husika ili kuupata ukweli halisi kabla ya kutafuta kick za kisiasa majukwaani?.
Sasa unaweweseka baada ya kuona hali imekaa vibaya na sheria inakuelemea
Kweli hii ni!
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA).
maendeleo hayana vyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wapinzani muanzishe kikundi cha taarabu mkate na viuno kuukatikia mti. Yaani Mh. Lema unakosa kabisa hoja unabaki kutoa allegations za uongo uongo. Hivi ni nani ambaye aliwahi kusema ofisi ya DPP ni legelege? Yaani hujui hata DG wa TPDC ilikuja kubainika alisingiziwa? Hivi hujui msamaha kwa wahujumu uchumi umetoa nafasi kwa wahusika kujutia makosa??? Hivi Mh. Lema kwa nini hamkumlipia Kabendara? Yaani mmeishiwa kabisa.
Unajua mi nimesoma na shule imeijenga akili yangu. Nikiona mtu anahusisha kabila na majukumu ya kiserikali, napata hisia kwamba huyo shule yake ndogo. Akili haijanufaika na elimu.
Sababu yanajirudia rudia kila jamii hio ipatanapo nafasi Zaid ya watu Sita sasa tofauti Na jamii zingine huwezi sikia hayo..unamzungumzia Jpm na kauli zake za hivi karibuni?
..ila nakubaliana na wewe kuwa kila mtu abebe "msalaba" wake.
..siyo haki kabisa kuhusisha matendo ya DPP na kabila lake.
Duh...!.
P
Pointi ya Lema ni kuwa " DPP aache kuingilia uhuru wa mahakama" Hapo si mahali pa kujibizana ila ilikuwa mahali pa kumweleza DPP asimfuate fuate kwa sababu kesi ipo mahakamani.