Lema amjibu DPP Mganga Biswalo, amtaka aache kutisha watu

Watetezi wa CCM muogopeni mungu badala ya kutumia nguvu kubwa kumtetea DPP ni vyema mtumie nguvu hiyo kumkataza aache roho mbaya aache kuwabambikia kesi kuwanyanyasa wapinzani aache Tabia zote mbaya hapo mtakuwa mmesaidia kuliko kulazimisha watanzania wamwamini DPP wakati waneshuhudia akifanya vingi kinyume cha haki za binadamu na Sheria.
Kawajaza watu mahabusu wasio Na chapa wako ndani Miaka wengine Zaid ya Miaka 7 wakisubiria ushahidi labda unatoka mwezini huo ushahidi, ila wenye chapa wao wako nje wanasubiria ushahidi Miaka sasa ili ndo wakamatwe.Ila wengine ushahidi utawakutia ndani.Hiz jamii zenye roho ya kuuwa vikongwe sio kabisa za kuzipa lesen ya udereva waishie kwenye utingo na ukuli tu
 
Mkuu Msukuhushi, thanks for this, this it's very objective, kwanza sii wana jf wengi wanajua alichosema Mhe. Lema kama kina criminal liability, webunge wana kinga ya kibunge ila kinga hiyo ni applicable kwa watakayo yatamka Bungeni tuu na sio nje ya Bunge. Spika Ndugai aliishapewa maelekezo yeye a deal nao ndani ya Bunge halafu waje waropokee huku nje ya Bunge, Mzee Baba mwenyewe ata deal nao.

DPP akasema alichotamka Lema constitutes some criminal liability atamshughulikia na DPP alikuwa very specific.

Mhe. Lema hakujibu hoja za DPP, bali kamtumia ujumbe huu. Thanks God Mhe. Lema yuko well connected, kila akitumiwa watu kumkamata, inatokea anakuwa hayupo!. Baada ya Polisi kupata taarifa zake na hotel aliyofikia, jana alfajiri Polisi wakamdamkia, wakakuta chumba kitupu, katimka bila kuaga wala ku check out, na hakulipa hotel hiyo.

Hizi za Lena na DPP ni mbio tuu za sakafuni zinakaribia ukingoni.

Humu jf ukiwa objective katika kuusema ukweli halisi ambao ni ukweli mchungu, be ready kuitwa kila aina ya majina, ila mwisho wa siku, ukweli ndio utasimama mpaka mwisho
P
Lema yuko well connected, kila akitumiwa watu kumkamata, inatokea anakuwa hayupo!.

Huyu yote yake yeye haogopi chochote huku akiwatoroka asiowaogopa sijui ndo siasa zenyewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo awamu ya kwanza kumuona DPP akiongea na vyombo vya habari kama mwanasiasa. Watanzania hatukuzoea. Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametusemea watu wengi tulioumizwa na DPP Biswalo Mganga. Hakika Mungu atamlinda Godbless Lema dhidi ya hila zote za kishetani. Hapa nawakumbusha tu baadhi ya uovu ambao DPP Biswalo Mganga ameufanya kwa makusudi au kwa kutumika na anayemtuma;

1. Kwenye Plea bargaining wanafanya dhuluma ya wazi wazi kwa kuchukua fedha kwa watu ambao wamewakamata bila ushahidi. Watu wanasota miaka mitatu rumande kwa kisingizio upelelezi haujakamilika, then wanaambiwa waombe msamaha ili waingie plea bargain. Kimsingi Plea bargain inapaswa ifanyike na kusimamiwa na Mahakama, lakini hapa Tanzania inasimamiwa na DPP. Plea bargain ni mradi wa kujipatia fedha binafsi kati ya Jiwe na Biswalo Mganga. Kuna fedha ambayo wanaingiza Serikalini kwenye akaunti ya Plea bargain lakini kuna fedha zingine wanachukua wao binafsi ambazo hazina rekodi lakini mtuhumiwa anaambiwa atoe ili aaweze kuwa eligible.

2. Aliwaachia askari waliomuua Akwilina wa DIT na akawafungulia Mashtaka viongozi 9 wa CHADEMA ambao last week walichangiwa hela na wananchi ili wasifungwe miezi 5 jela.

3. Amewabambikia kesi akina Eric Kabendera, Tito Magoti na wenzie kwa kuwapa kesi ya kutakatisha hela ingawa kwa sabau tu ya kuikosoa Serikali

Tuombe Mungu atupe uhai, awamu inayokuja namuona Biswalo Mganga naye akipelekwa Mahakamani kama anavyopeleka wenzie pamoja na Kamanda Lazaro Mambosasa.
Biswalo Mganga iko siku atatia adabu
 
Akiongea kupitia youtube chanel yake ya GLema Tv amemuonya DPP kuacha kutisha watu.

”…Mimi nimwambie DPP kwamba taifa hili linaanza kushuhudia kuwa yeye ni DPP wa kwanza anayeweza kutoka hdharani n akum-comvict mtuhumiwa. DPP siyo mahakama, wala DPP siyo Polisi…”

“…Katika shauri hili lililopo mkoani Singida nilipewa dhamana na polisi, baada ya kukaa lockup kwa takribani siku tatu. Na tulikubaliana nirudi polisi tarehe 24 mwezi huu, baadaye nikapigiwa simu kuwa natakiwa Polisi tarehe 19 jambo ambalo nilikuwa najiandaa nalo…”

“…Katika jambo hili nilipata fursa ya kuongea na IGP, na nilimpelekea meseji hata IGP ya majina haya ya watu ambao wameuawa kule Manyoni. Na nilimuomba IGP tuongee hata kabla sijaitaja ile list hadharani, nikifanya huvyo kama Mbunge, Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani na mtu ambaye nachukia kuona watu wanauawa hovyo…”

“…DPP katika mazungumzo yake, kitu ambacho kimenifanya nimjibu, kwanza hana mamlaka kisheria ya kuita vyombo vya habari kunihukumu kabla ya mahakama haijanihukumu. Hana hayo mamlaka kisheria; anakwenda kinyume kabisa na utaratibu wa kazi yake…”

“…Ile aliyofanya ni kudhihaki Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Setrikali katika taifa hili.

Swali ambalo watu wanatakiwa wajiulize ni kwanini DPP amekuwa na mamlaka makubwa sana katika Taifa hili, huyu tuliye naye. Ni kwanini DPP anaweza aka pre-empt maamuzi ya court? Ni kwanini DPP anatoka hadharani, anajaribu kumkemea Mbunge, kuchafua Mbunge na kumdhalilisha Mbunge wakati Mahakama bado haijafanya maamuzi wala kesi bado haijasikilizwa?...”

"...Maganga, Biswalo; Kama kuna mtu ameumiza watu wengi nchi hii, wewe ni aidha namba moja ama namba mbili..."

“…Mioyo ya watu wengi imepondeka. Hawakwambii pengine hawana guts niliyo nayo mimi; hawakwambii pengine wanaogopa wanasubiri hii regime ipite. Na itapita hii regime. Kwasababu hii regime haiongozwi na Mwenyezi Mungu wala Yesu….umetumia ofisi yako vibaya sana, na hata leo unatumia ofisi yako vibaya…”

…”Nakuhakikishia kama Mungu aishivyo, kwanza sikuogopi na siogopi unaweza ukaamua kitu gani juu ya maisha yangu kwasababu anayeweza kuamua maisha yangu ni Mwenyezi Mungu peke yake. Kwahiyo elewa kwamba sikuogopi na hakuna namna yoyote unaweza kunitisha nikakuogopa. Na nitaendelea kufanya kazi yangu. Fanya chochote…”

DPP: Mbunge Lema kuchukuliwa hatua kwa kupotosha vifo vya watu 14 Manyoni, Hatuwezi kuwa na Taifa la watu wazushi na wazua taharuki

Biswalo Mganga alionywa na Godbless lema mapema mwaka 2020
 
Hii ndiyo awamu ya kwanza kumuona DPP akiongea na vyombo vya habari kama mwanasiasa. Watanzania hatukuzoea. Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametusemea watu wengi tulioumizwa na DPP Biswalo Mganga. Hakika Mungu atamlinda Godbless Lema dhidi ya hila zote za kishetani. Hapa nawakumbusha tu baadhi ya uovu ambao DPP Biswalo Mganga ameufanya kwa makusudi au kwa kutumika na anayemtuma;

1. Kwenye Plea bargaining wanafanya dhuluma ya wazi wazi kwa kuchukua fedha kwa watu ambao wamewakamata bila ushahidi. Watu wanasota miaka mitatu rumande kwa kisingizio upelelezi haujakamilika, then wanaambiwa waombe msamaha ili waingie plea bargain. Kimsingi Plea bargain inapaswa ifanyike na kusimamiwa na Mahakama, lakini hapa Tanzania inasimamiwa na DPP. Plea bargain ni mradi wa kujipatia fedha binafsi kati ya Jiwe na Biswalo Mganga. Kuna fedha ambayo wanaingiza Serikalini kwenye akaunti ya Plea bargain lakini kuna fedha zingine wanachukua wao binafsi ambazo hazina rekodi lakini mtuhumiwa anaambiwa atoe ili aaweze kuwa eligible.

2. Aliwaachia askari waliomuua Akwilina wa DIT na akawafungulia Mashtaka viongozi 9 wa CHADEMA ambao last week walichangiwa hela na wananchi ili wasifungwe miezi 5 jela.

3. Amewabambikia kesi akina Eric Kabendera, Tito Magoti na wenzie kwa kuwapa kesi ya kutakatisha hela ingawa kwa sabau tu ya kuikosoa Serikali

Tuombe Mungu atupe uhai, awamu inayokuja namuona Biswalo Mganga naye akipelekwa Mahakamani kama anavyopeleka wenzie pamoja na Kamanda Lazaro Mambosasa.
Muda mwafaka kwa Biswalo sasa kuwa jibika ndiyo huu. Japo nimesikia fununu kuwa anauza mali zake na kutorosha nje ya nchi fedha zitokanazo na mauzo. Kuna nyumba karibu na Slipway ambayo ilikuwa mali ya Patwa inasemekana iko kwenye mchakato wa kuuzwa. TAKUKURU na Polisi fuatilieni hili
 
Anyakwe fasta
snoop-dogg-crip-walk.gif
 
Muda mwafaka kwa Biswalo sasa kuwa jibika ndiyo huu. Japo nimesikia fununu kuwa anauza mali zake na kutorosha nje ya nchi fedha zitokanazo na mauzo. Kuna nyumba karibu na Slipway ambayo ilikuwa mali ya Patwa inasemekana iko kwenye mchakato wa kuuzwa. TAKUKURU na Polisi fuatilieni hili
Huyu bwana analo mwaka huu. Nadhani atajifunza every dog has it day, his day has come if not close
 
Auze na Kasri alilijenga Ukerewe Kwa hela za Plea bargaining.
 
Huyu bwana analo mwaka huu. Nadhani atajifunza every dog has it day, his day has come if not close
Hiyo nyumba ya Slipway ni moja ya zile mali ambazo walikuwa wanawapora watuhumiwa waliowaweka Segerea/Keko. Kwa hiyo wanapoanza plea bargain wanaichukua kama sharti la mtuhumiwa kuachiwa.

Biswalo Mganga ndivyo alivyopata nyumba hiyo ya Slipway.
 
Auze na Kasri alilijenga Ukerewe Kwa hela za Plea bargaining.
Hawa akina Biswalo na Magufuli wametesa sana Watanzania kwa kisingizio cha kwamba eti wanakamata mafisadi. Wakati wao ndiyo walikuwa mafisadi wakubwa.
 
Plea Bargain ulikuwa ni uharamaia wa mchana kweupe kabisa, chini ya uangalizi wa Jinamizi.

birdman2.png
 
Back
Top Bottom