Lema ameanzia mbali sana tangu TLP ALIPATA KURA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema ameanzia mbali sana tangu TLP ALIPATA KURA...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 27, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mheshimiwa lema ameanzia siasa mbali mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP na kupata [TABLE]
  [TR]
  [TD="width: 10%, bgcolor: #ece9d8"][/TD]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #ece9d8"] GODBLESS JONATHAN LEMA[/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #ece9d8, align: center"]TLP[/TD]
  [TD="width: 5%, bgcolor: #ece9d8, align: center"]M
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #ece9d8, align: right"]40,892[/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #ece9d8, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  hapo ndipo nakuja na hoja ya umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi ni wengi sana wanabanwa na hivi vyama vya siasa wakati wana uwezo so plz cdm hakikisheni katiba mpya inatoa uhuru huo japo kuna hofu ya kudhoofika kwa vyama lakini kwa vyama imara vitadumu tu.
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hueleweki nia yako ni nini mkuu.
  Kwahiyo lema angetakiwa kuwa mgombea binafsi au,
   
 3. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Alipogombea kupitia CDM alipata kura ngapi?
   
 4. M

  Mr. Clean Senior Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  je mrema(mshindani wake) alipata ngapi?
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mie binafsi sijakuelewa unataka kusema kitu gani kuhusu huyo Lema
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kama nimemuelewa vizuri anamaanisha Lema alikuwa ana power<binafsi>kabla hata ya kuingia CDM.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Uchaguzi wa mwaka jana CDM kuna sehemu hata wangesimamisha jiwe lingeshinda. Anyway, Lema anajua how to maintain integrity.
   
 8. B

  BigMan JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  ujambazi wenzake sita waliuwawa na polisi baada ya kwenda kupiga eneo la chekereni 1997 yeye alifaikwa kukimbia na pia muuza mitumba akifahamika kama godii
   
 9. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2017
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 6,805
  Likes Received: 4,847
  Trophy Points: 280
  Nauliza tu maana kuna methali inatufundisha kuwa " aisifuye mvua........" na ile nyingine inatuonya " kuchamba kwingi.......' hivyo ni vema wanasiasa wakavumiliana maana kila mbuyu na shetani wake, ahsanteni!
   
 10. K

  Kapilipoint JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2017
  Joined: Nov 30, 2017
  Messages: 309
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 80
  Mrema alimfukuza Kwa hiyo hakukuwa na biashara
   
 11. x

  xenaxena JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2017
  Joined: May 20, 2014
  Messages: 2,229
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Lema is one of the optimistics
   
Loading...