Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

Sioni Tija ya hii mijisafari isiyokuwa na kichwa wala miguu zaidi ya kukidhohofisha chama kifedha mpaka kuanza kuchangisha WABUNGE kwa upuuzi Kama huu siungi na wala sita support matumizi ya hovyo Kama haya.
 
tunaamini wabunge wa chadema wako kwa ukombozi wa taifa na hakuna mtu anaweza kuchangisha wabunge kama maamzi hajatolewa na uongozi wa juu ambao kimsingi ni wabunge wenyewe kama wamekulalamikia waambie 2015 wagombee kupitia ccm, kama mama lishe anachangia iweje mbunge.
 
Big up sana Kamanda Lema pamoja na timu zima makini ya CHADEMA; ndani na nje ya nchi kwa kufanikisha japo haya machache kwa sasa.
 
Pro-Chadema bana kwa porojo Meya wa London ataongea nini na Lema kwanza utampata wapi yupo busy na kamati ya Olympics kusimamia Olympics kuakikisha kina Usain Bolt, Michael Phelps, Mo Farah wanapata medali zao huyo muda wa kukaa na Lema kaupata wapi.
 
Mkuu chama kuna michango mingine huku imeanza na" Breaking News Lema akutana na Meya wa London" watu wana mbinu za kukusanya pesa...

Lema kaongea nini na Meya wa London ebu tuwekeeni clip ya mazungumzo yao Lema hajui kiingereza ilo lipo wazi kaongea kwa lugha gani.
Kiingereza kama zilivyo lugha zingine, ni chombo cha mawasiliano lakini siyo utaalam wala siyo kipimo cha elimu au ujuzi. Wakuu wa China, Ujerumani, Urusi, Italy, n.k. wakienda mataifa mengine wanaongea lugha zao, siyo kiingereza, na hilo haliwapunguzii chochote. Kama Lema kiingereza kama hakijui, anaweza kuongea kiswahili, na hilo halitampunguzia chochote.
Humu JF, wengi wa wasiokijua kiingereza ndiyo wanaonekana kuhusudu sana mjadala wa lugha, kwa vile ni kitu kinachowasumbua, wanadhani ni kitu muhimu sana. Nenda kule Brazil, Chile, Argentina, Peru, Mexico na hicho kiingereza chako cha kubabaisha ungejiona kutokuwa tofauti na yeyote asiyejua hata neno moja la kiingereza. Bila hata ya kiingereza, leo uchumi wa Brazil ni wa tano kwa ukubwa Duniani.
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana! Sasa matawi 7 uk yanasaidia nini wakati hawataruhusiwa kupiga kura? Chama kimeona kuna umuhimu wa kwenda uk wakati hapa Tz sehemu za vijijini ndio kwanza hata balozi wa nyumba 10 kutoka cdm hamna? Naipenda cdm lakini si kwa mtindo huu!

Ninakuunga mkono kwa 100%. Ninaunga mkono jitihada zinazofanywa na CDM na hizo opereshani za M4C lakini ninalaani huu utamaduni mpya wa siasa za Tanzania - vyama vya siasa kufungua 'matawi' ughaibuni: ni ulimbukeni, ni utoto, ni fikra mgando. Kama CDM wangekuwa na washauri wazuri ama mtu mwenye busara katika safu ya uongozi wangeamua kuwaachia huu upuuzi wale wa ccmabwepande. Mhe Slaa please do something about this craziness.
 
Haya bhana! Sasa matawi 7 uk yanasaidia nini wakati hawataruhusiwa kupiga kura? Chama kimeona kuna umuhimu wa kwenda uk wakati hapa Tz sehemu za vijijini ndio kwanza hata balozi wa nyumba 10 kutoka cdm hamna? Naipenda cdm lakini si kwa mtindo huu!

Ha ha kwani arakati za kukomboa nchi unadhani ni kwa kupiga kura pekee yake.
 
Kiingereza kama zilivyo lugha zingine, ni chombo cha mawasiliano lakini siyo utaalam wala siyo kipimo cha elimu au ujuzi. Wakuu wa China, Ujerumani, Urusi, Italy, n.k. wakienda mataifa mengine wanaongea lugha zao, siyo kiingereza, na hilo haliwapunguzii chochote. Kama Lema kiingereza kama hakijui, anaweza kuongea kiswahili, na hilo halitampunguzia chochote.
Humu JF, wengi wa wasiokijua kiingereza ndiyo wanaonekana kuhusudu sana mjadala wa lugha, kwa vile ni kitu kinachowasumbua, wanadhani ni kitu muhimu sana. Nenda kule Brazil, Chile, Argentina, Peru, Mexico na hicho kiingereza chako cha kubabaisha ungejiona kutokuwa tofauti na yeyote asiyejua hata neno moja la kiingereza. Bila hata ya kiingereza, leo uchumi wa Brazil ni wa tano kwa ukubwa Duniani.

Acha porojo zako wewe wachina, wabrazili, wao hao south america wanaongea kizuri tu wanapokuwa kwenye mikutano ya kibiashara usitaka kudanganya watu kiingereza ni lugha namba 1 ya mawasilaino duniani, hivi unafikiria wachina ni wapuuzi kuhamasisha raia wao wajifunze kiingereza?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
subirini kiama chenu, kuhusu kuongeo nini? kwanza tuweke clip ya kikwete na obama kwa mara ya kwanza obama baada ya kuwa raisi.

mh. Kikwete anaongea kiingereza labda kama hufuatilii mikutano yake

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ivi lema si hajui kiingereza?nani anamsaidia kutafsiri baadhi ya mambo ili aweze kuelewana na wenyeji wake.
 
Hapa ndipo wazungu wanapotupendea. Tukiwa na shida tu, hao kwao. Hivi tunategemea tutakuwa huru kweli? Kikwete nae haishi nyimbo za wafadhili. Kwani hao wametusaidia wapi? Hatuna kitu

Ujinga mwingine bwana .Lema sijui kama kaenda kuomba lakini yeye kuonana na watu wa mataifa ni jambo la kawaida katika siasa .Mitch juzi alikuwa ziarani Ulaya hadi Israel ilimaanisha nini ? Uhusiano wa kimataifa ni kawaida kaka.Sasa kama kutakuwa na msaada hayo ni mengine na Chadema kama chama wanastahili mno kupewa msaada hawana serikali nk na wanachama na wananchi wapenzi wa Chadema wanabanwa wanashindwa kuchangia Chama .Lema waeleze pia kwama MwanaHalisi limefungiwa na elezea kisa cha Ulimboka kwa uwazi .
 
Ivi lema si hajui kiingereza?nani anamsaidia kutafsiri baadhi ya mambo ili aweze kuelewana na wenyeji wake.

Better Lema kama kiongozi na mzalendo akatumia kiswahili mkalimani akawepo akaubeba Utanzania badala ya kuwa kama JK na kiinhereza shallow chenye utata sote umesha msikia si mara moja au mbili .
 
Hiyo pesa iliyotumika kwa safari ingeweza kununua pikipiki 50 na kuzigawa kwa makamanda wa chama kwenye kata na matawi ya chama maeneo mbalimbali ya nchi
 
Better Lema kama kiongozi na mzalendo akatumia kiswahili mkalimani akawepo akaubeba Utanzania badala ya kuwa kama JK na kiinhereza shallow chenye utata sote umesha msikia si mara moja au mbili .

unachekesha kweli.na mbowe je,umewahi kumsikia aongee kiingereza tangu umezaliwa?jk mashine kubwa wewe jidanganye apo,.
 
Back
Top Bottom