Lema akosoa ukimya wa viongozi wa kidini

Nadhani baadhi wanasubiri Kraresma na pasaka ijayo.
 
Povu la nini, kilichoulizwa ni Mbona viongozi wa kiroho wamekaa kimya wakati wa dhoruba inayoendelea?!
Kila mtu apambane na fursa yake..wao mbona walikuwa wanatetea ushoga wakati viongozi wa dini wanapinga?ila leo wao wanataka viongozi wa dini wakubaliane na matendo yao.
 
Acha unafiki, wakilianzisha mnasema wachochezi, na serikali ikiwaita magaidi nanyi mnaunga mkono 100%. Kesi ya uamsho mwaka wa ngapi huu? ACHA DAWA ITUINGIE WOTE KWA SASA. SHEKH PONDA KAKAA GEREZANI ZAIDI YA HUYO MBOWE MBONA HATUKUSIKIA AKIWAITA WANASIASA.
Wala hawakumtembezea bakuli kumtafutia wanasheria..
 
hawakawii kukwambia kanisa lako limejengwa kwenye njia ya Hoima, gesi na oili italipukia waumini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom