Baadhi ya picha zikionyesha maelfu ya watu wakimsikiliza Jembe la Arusha kamanda Mpambanaji Mh G Lema akiiondoa CCM kwenye historia ya siasa Arusha na amefanikiwa kwa asilimia 93%
Mkuu nenda kwenye heading nisaidie sijawahi kusikia mkoa au mji wa atusha.Hawa ni watu wasiopewa hela bali hutoa hela kichangi harakati tofauti na ccm wanavyowapa pesa lakini hata wakija hawafikii ribi ya hawa
Hawa ni wale vijana wetu wa form four wa mwaka huu amao ni bahati mbaya mkuuMkuu nenda kwenye heading nisaidie sijawahi kusikia mkoa au mji wa atusha.
Huwa wanachangia saccos ya chadema au vp mkuu? Halafu ribi ndio mdudu gani huyo?Hawa ni watu wasiopewa hela bali hutoa hela kichangi harakati tofauti na ccm wanavyowapa pesa lakini hata wakija hawafikii ribi ya hawa
Mkuu fahamu ni gazeti la ccm"B" aka CUF, ni gazeti la uwongo na upotoshaji kama gazeti la uhuru!Mkuu, FAHAMU ni gazeti au blog? Sijawahi kabisa kusikia hii kitu?
Mkuu fahamu ni gazeti la ccm"B" aka CUF, ni gazeti la uwongo na upotoshaji kama gazeti la uhuru! Ni kama clouds fm nayo ni radio ya upotoshaji inayorumiwa na ccm.Mkuu, FAHAMU ni gazeti au blog? Sijawahi kabisa kusikia hii kitu?
Hawa ni watu wasiopewa hela bali hutoa hela kichangi harakati tofauti na ccm wanavyowapa pesa lakini hata wakija hawafikii ribi ya hawa
Mkuu nenda kwenye heading nisaidie sijawahi kusikia mkoa au mji wa atusha.
Hawa ni wale vijana wetu wa form four wa mwaka huu amao ni bahati mbaya mkuu
Fahamu ni gazeti la udaku ka ccmB .