Lema aibuka na 'bomu la Soweto' Bungeni

Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.

Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.

Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Mkuu nakushauri rudi katika ufahamu wako, Hili swala la bomu la arusha ni swala la maisha ya watu yaliopotea bila sababu ya msingi, hivyo hupaswi kulifananisha au kulipeleka kisiasa kama mabilioni yaliofichwa Uswiss hili linatakiwa lipelekwe kimahakama ili muhusika apewe adhabu stahiki.
 
He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.

Mkuu, Kwani kuna tatizo gani kama itaundwa tume huru ya kijaji na kushuulikia hilo swala?
Na itakuwa na tija gani ukiwataja majina watu waliolipua bomu soweto na wakaendelea kudunda mitaani?

Kwa maswali hayo mawili nadhani sasa ufafamu wako umerudi na sasa unaweza kutoa mchango wako wa mawazo.
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
 
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.

Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?

Wajinga ndio waliwao...

Akishatoa ushahidi huo wewe ukiujua utafanya nini, ushahidi unatakiwa kutolewa kwenye chomno chenye meno. Mnataka ushahidi huo mkakalie mijadala isiyo na tija
 
Mkuu nakushauri rudi katika ufahamu wako, Hili swala la bomu la arusha ni swala la maisha ya watu yaliopotea bila sababu ya msingi, hivyo hupaswi kulifananisha au kulipeleka kisiasa kama mabilioni yaliofichwa Uswiss hili linatakiwa lipelekwe kimahakama ili muhusika apewe adhabu stahiki.

CHADEMA acheni kucheza na akili za watu, kwahiyo rais asipounda hiyo tume, huo ushahidi mtakufa nao?
 
Mkuu nakushauri rudi katika ufahamu wako, Hili swala la bomu la arusha ni swala la maisha ya watu yaliopotea bila sababu ya msingi, hivyo hupaswi kulifananisha au kulipeleka kisiasa kama mabilioni yaliofichwa Uswiss hili linatakiwa lipelekwe kimahakama ili muhusika apewe adhabu stahiki.

Kwani Lema amekatazwa kwenda mahakamani?
 
Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.

Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.

He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.

Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
Itabidi next election tuweke vigezo vya elimu mbele, kwa kila anayetaka kuwa mbunge awe angalau amepita pita Skuli.
 
Katika Bunge linaloendelea hivi sasa Dodoma, Mb Lema katika kuwasilisha mchango wake kuhusu ripoti iliyowasilishwa bungeni juu ya wizara ya mambo ya ndani amesema

"Katika ripoti yote iliyoandikwa katika kitabu hiki sijaona ikielezea au kuzungumzia bomu la soweto wakati bomu la olasiti limezungumziwa, Chadema ilisema tunaushaidi wa DVD juu ya aliyehusika na ulipuaji wa bomu la soweto na tukashauri Raisi aunde tume huru ya kimahakama ili tuwasilishe ushaidi wetu. Cha kushangaza haijaundwa mpaka leo na hawataki kufuatilia swala hilo" mwisho wa kunukuu.

My take
Hapa inaonyesha kuwa Chadema walionewa na ni kweli Serikali inausika juu ya ulipuaji wa bomu la soweto na sasa wanachokifanya ni kupiga chenga ili kuficha ukweli.

Huwa napata taabu sana mtu akiniambia nini kazi ya Usalama wa Taifa, kwasababu sijajua kama kweli kazi yao kubwa ni kuua na kutesa watu wote wanao inyoshea Serikali kidole, au kazi yao ni kufuatilia nyendo zozote zinazoweza kuhatarisha ustawi wa Taifa letu, hii inanipa taabu sana nikikumbuka mateso ya Dr Ulimboka na Kibanda na kwa upande wa pili nikikumbuka upakiaji wa Twiga Kwenye ndege ilihari inasemekana hata uwanja wa ndege wanakuwepo watu wa Usalama wa Taifa.
 
Kama ushahidi anao si auweke hadharani?

Mkuu unapaswa kuelewa kila jambo lina wakati wake pamoja na taratibu zake. Sasa njia husika za kufuatilia jambo hili ni kuilazimisha Serikali kuunda tume huru ya kijaji ili sheria ichukue mkondo wake, (kwani Chadema inaamini sio uongozi wote wa serikali uliofanya kitendo hicho ila kuna baadhi waliousika na ndio wanastaili kuchukuliwa atua.
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
Watanzania unaodhani unawasemea wana akili kuliko hata wewe.
 
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.

Kama ndivyo kwanini Serikali isimchukulie hatua? kwasababu Serikali ndio yenye dhamana
 
Kuunda tume ni gharama kutoa ushahidi ni bure kama kweli unao ushahidi why tutumie gharama kubwa kuunda tume wakati issue unayo mkononi kwenye dvd?
 
Back
Top Bottom