Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,645
Vipi tindikali Watalii znz ipo kwenye ripoti?
Nadhani itatajwa baraza la wawakilishi
Vipi tindikali Watalii znz ipo kwenye ripoti?
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.
Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.
He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.
Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Mkuu nakushauri rudi katika ufahamu wako, Hili swala la bomu la arusha ni swala la maisha ya watu yaliopotea bila sababu ya msingi, hivyo hupaswi kulifananisha au kulipeleka kisiasa kama mabilioni yaliofichwa Uswiss hili linatakiwa lipelekwe kimahakama ili muhusika apewe adhabu stahiki.

Itabidi next election tuweke vigezo vya elimu mbele, kwa kila anayetaka kuwa mbunge awe angalau amepita pita Skuli.Huu ndiyo utoto wa viongozi wa CHADEMA.
Huyu kijana ambaye siasa amezivamia siyo muda mrefu alikuwa anaweka pressure kwa mbunge mwenzake ampe majina ya walioficha pesa nchi za nje ili awataje yeye lakini likija swala la kuwataja au kutoa video ya mauwaji ya watu wasio na hatia wanayodai wanayo, anataka tume ya kijaji.
He is the most stupid MP has ever join the floor of parliament.
Usanii mtupu unaowafaa watu wenye akili kama zake.
Katika Bunge linaloendelea hivi sasa Dodoma, Mb Lema katika kuwasilisha mchango wake kuhusu ripoti iliyowasilishwa bungeni juu ya wizara ya mambo ya ndani amesema
"Katika ripoti yote iliyoandikwa katika kitabu hiki sijaona ikielezea au kuzungumzia bomu la soweto wakati bomu la olasiti limezungumziwa, Chadema ilisema tunaushaidi wa DVD juu ya aliyehusika na ulipuaji wa bomu la soweto na tukashauri Raisi aunde tume huru ya kimahakama ili tuwasilishe ushaidi wetu. Cha kushangaza haijaundwa mpaka leo na hawataki kufuatilia swala hilo" mwisho wa kunukuu.
My take
Hapa inaonyesha kuwa Chadema walionewa na ni kweli Serikali inausika juu ya ulipuaji wa bomu la soweto na sasa wanachokifanya ni kupiga chenga ili kuficha ukweli.
Kama ushahidi anao si auweke hadharani?
Lema huwa akikohoa kidogo magamba yanalowa.
Watanzania unaodhani unawasemea wana akili kuliko hata wewe.Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
Lema anataka apewe majina ya wenye pesa Uswizi ili awataje hadharani. Lakini kuwataja waliolipua bomu anaweka vikwazo.
Kwani kama anauhakika na ushahidi wake kuna ugumu gani kuuweka hadharani?
Wajinga ndio waliwao...
Ninachokifahamu, LEMA ni mmoja wa watuhumiwa katika ulipuaji wa bomu SOWETO, CHADEMA walilipua lile bomu kwenye mkutano wao kwa sababu za kisiasa. Lema asifanye watanzania hawajui kinachoendelea.
Lema amesimamia msimamo wa chama tume ya kijaji iundwe.Kuna ugumu gani serikali kuunda tume hiyo?
Mbowe aliapa mbele ya IGP kuwa hana CD wala DVD yenye picha za SOWETO.