Lema aachwe jela hadi hamu yake iishe

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
 
Mi nadhani amekoma! na si yeye tu.... wengi wamekoma! kweli hili ni fundisho kwa wenye mdomo mchafu! Lakin upande wa pili wa shilingi naona kama Serikali inavunja mayai kwa nyundo.
 
Aachwe jela hadi akinai...alinishangaza siku aliposema 'hata mke wangu sikutaka apewe dhama ili aende jela lakini watu wakanisihi'' yeye anafikiri anakomoa dola.
 
Mi nadhani amekoma! na si yeye tu.... wengi wamekoma! kweli hili ni fundisho kwa wenye mdomo mchafu! Lakin upande wa pili wa shilingi naona kama Serikali inavunja mayai kwa nyundo.
Kama hakuna kitu unachofaidi jela huwezi kulilia kwenda huko. Muulize Lissu alichokutana nacho huko, alitoka huko na kumuita rais mtukufu badala ya dikteta. Jela? Acha kabisa , Lema ana kitu anafaidi huko siyo uongo
 
Yaweza kua ana hamu na jela kama mleta uzi unavyosema, lakini sheria yetu inatumia vifungu gani katika kumjua mtu mwenye hamu na jela?

Ungewaonesha hivyo vifungu ili wavitumie maana kodi zinaliwa sana kushughulika na kesi kama hii, badala ya kusingizia maagizo kutoka juu, au maagizo kutoka juu ndiyo yanaamua nani ana hamu na jela na nani hana?
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu":- Mchungaji Peter
Msigwa
 
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.

Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.

Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.

Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.

Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.
Hivi yuko jela au mahabusu/rumande?
 
Yaweza kua ana hamu na jela kama mleta uzi unavyosema, lakini sheria yetu inatumia vifungu gani katika kumjua mtu mwenye hamu na jela?

Ungewaonesha hivyo vifungu ili wavitumie maana kodi zinaliwa sana kushughulika na kesi kama hii, badala ya kusingizia maagizo kutoka juu, au maagizo kutoka juu ndiyo yanaamua nani ana hamu na jela na nani hana?
Yeye mwenyewe hutamka, siogopi kwenda jela nitakaa jela kama Mandela.Majuzi alitaka na mkewe asipewe dhamana.
 
Lema alipokosea ni kumuingiza mke wake ktk hizi siasa za kihuni, ile msg ya matusi mke wake lazima atatiwa hatiani tu kwa kuwa ipo wazi kabisa, aombee aonewe huruma tu na kupewa adhabu ndogo na si jela kwa kuwa ni kosa lake la kwanza.
 
Yaweza kua ana hamu na jela kama mleta uzi unavyosema, lakini sheria yetu inatumia vifungu gani katika kumjua mtu mwenye hamu na jela?

Ungewaonesha hivyo vifungu ili wavitumie maana kodi zinaliwa sana kushughulika na kesi kama hii, badala ya kusingizia maagizo kutoka juu, au maagizo kutoka juu ndiyo yanaamua nani ana hamu na jela na nani hana?
Kwani Lema alivyokuwa anamtishia mkuu wa nchi alipata maagizo kutoka juu? Kifungu gani cha sheria kinasema kosa la Lema halihitaji kushughulikiwa kisheria?
 
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu":- Mchungaji Peter
Msigwa
usimwamini msigwa...kwa sasa ndiye mpigamagoti akimwona Lowassa angali alisema 'anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili'...kakubali kuongozwa na akili ndogo.
 
Lema alipokosea ni kumuingiza mke wake ktk hizi siasa za kihuni, ile msg ya matusi mke wake lazima atatiwa hatiani tu kwa kuwa ipo wazi kabisa, aombee aonewe huruma tu na kupewa adhabu ndogo na si jela kwa kuwa ni kosa lake la kwanza.
Na ile nayo bado inamsubiri. Sijui Lema alikuwa na lengo gani, mke wake naye awe mwana siasa hata kama hana kipaji hicho?
 
Back
Top Bottom