Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kuna vitu watu wanajitoa ufahamu, ni kama wamesahau ya kwamba ni mwezi uliopita tu Lema aiutangazia umma kuwa hakutaka mkewe apate dhamana katika kesi ya kutuma ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa Arusha.
Mara kadhaa Lema ametamka ya kwamba 'siogopi kwenda jela hata sasa' na mara baada ya ujumbe huu lazima atafanya kituko ili aitwe na polisi.
Kwa Lema jela ni kama tambiko,baada tu ya kushinda ubunge mwaka 2010 ndipo alipoanza mfumo huu ili kutimiza 'unabii' wake, 'kwenda jela kuleta ili kudhihirisha haiogopi serikali'. Lema anapokuwa jela hupata muda wa kufunga na kuomba kuliko akiwa uraiani.
Mapacha watatu Mbowe,Lowassa na Sumaye wapo bize kuzurura huku na kule wakijilipa posho si kwamba hawajui dhumuni la Lema kwenda jela.Huwa kila baada ya muda Fulani afanye kituko ili tu apelekwe jela bila shaka kuna burudani anaifuata huko.
Bado nasisitiza 'nabii' Lema alioshawahi kutoa maono yake ya kutoka kwa mungu ya kwamba 'ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi'..Ni wakati sasa aachwe jela hadi pale hamu yake itakapokwisha.