Leleti Khumalo (Sarafina) Star anayeishi na gonjwa linalowasumbua wengi lisilo na tiba(Vitiligo)

Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
 
Michael Jackson (29 Agosti 1958 – 25 Juni 2009) alikuwa mwanamuziki na mburudishaji wa Kimarekani ambaye ametumia zaidi ya miaka arobaini katika jicho la umma, kwanza akiwa kama nyota mtoto akiwa na kundi zima la The Jackson 5, kishaa badaaye kama msanii wa kujitegemea. Kuanzia katikati mwa miaka ya 1980 imekuwa wazi kwamba mwonekano wa Jackson ulikuwa unabadilika bila kificho. Ngozi ya mwili wake imeanza kupauka, pua na umbo la sura yake imebadilika, na kapoteza uzito.

Ile hali ya mpauko wa ngozi awali ulisababishwa na vitiligo na lupus (ugonjwa wa ngozi ambao tiba yake ni tata) — ambao Jackson alijaribu kuutibia kunako mwaka wa 1986—na matumizi yake ya vipodozi mbalimbali ili kuficha madoa yake ya mwilini.[1] Baadhi ya madaktari wa upasuaji wamekisia ya kwamba pia alifanya "rhinoplasty" (upasuaji wa pua), kuinua paji la uso, upasuaji na usawazishaji wa kidevu, na kabadilisha vilevile midomo yake.[2] Hayo yote ya karibu yanakadiliwa kufanywa na mwimbaji huyo kunako miaka ya 1990, amepitia karibia michakato kumi ya kubadili umbo lake.[1]

Afya na mwonekano wa Michael Jackson - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
Pole Sana Mkuu
 
Pole Sana mkuu.
Counseling yourself ni hatua nzuri kwenye kukubaliana na hali halisi.
 
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
Pole mkuu... Jitahid kusugulia vitunguu swaumu.. Ina slow process ya kusambaa!
 
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
Akili yako inapofikia mwisho hapo ndipo Yesu anapoanzia. Sali kwa imani tu uponyaji upo. Mimi niliwahi kusumbuliwa na vipele vya kichogoni muda mrefu pamoja na kuhangaika kwenye tiba hospitali tofauti.

Siku moja nilihudhuria mkutano wa injili wa Karistimatiki Katoliki pale Emaus Centre (nyuma ya stendi ya mabasi mikoani ubungo) uliokuwa ukiendeshwa na Padre Bashobora kutoka Uganda ambaye alikuwa anaendesha misa ya uponyaji kupitia Yesu wa Ekaristi. Akiwa altareni akasema shika sehemu yenye ugonjwa sugu isiyosikia dawa Yesu wa Ekaristi anakuponya sasa hivi, nikashika kwa imani.

Kesho yake nikashangaa vile vipele vinapukutika vyenyewe hadi leo ngozi imekuwa soft huwezi kuamini. vijana wa saloon wanaonijua walikuwa wakishangaa wanauliza nimetumia dawa gani! Jibu langu daima ni moja Yesu wa Ekaristi ameniponya.

Kwenye tatizo lolote ambalo unahisi akili yako imefika mwisho jikabidhi kwa Yesu kwa kumtumainia yeye tu atakujibu kwa wakati wake.
 
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
Pole asee...
Mimi kuna ndugu yangu ulikuwa unamtokea "sina uhakika kama ni mmoja maana yeye alikuwa anapoteza rangi ya mdomo kabisaa ambao kiasilia ni mweusi".

Dawa za asili ndo zilizomponyesha.. sikumbuki ni zipi maana ni muda mrefu umepita ila ni aidha zinatokea songea ama kagera... alipona kabisaa hivyo usipungukiwe na imani kumbuka hakuna mateso ya duniani ambayo mbingu ikashindwa kuziondoa
 
Jaribu kuniulizia
 
Yupo vizuri.

Kikubwa ni kujiamini na kutoishi kwa matarajio ya wengine.

Ninaye rafiki ana Vitiligo. Wakati tupo kindergarten hapa Arusha alikuwa poa tu. Miaka michache baadaye ikaanza kujionuesha.

Sasa hivi inaonekana zaidi kuzunguka macho, sehemu ya mdogo na kwenye vidole.
 
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo

Kuna Masai moja alikua anafanya kazi hapa ofisini alikua nao,ameeenda KwaoKurudi amepona,mungu mkubwa kwake
 
  • Thanks
Reactions: amu
Aisee kuna watu wana changamoto sana.

Bora nikae kimya nisiulize maswali magumu
 
Maisha ni kujikubali tu.
Usipokubaliana na madhaifu yako hutaweza kuishi popote hapa duniani, utatanga tanga huko na huko kama Michael Jackson.
Uzuri huu ugonjwa hauambukizwi bali ni genetic disorder sasa kwani ujitese?
Kuna magonjw aya aibu watu wanajificha nayo lakini sio genetic disorder! Maalibino waende wapi tena?
 
Duu pole Sana Sarafina
Kweli jf ni Google ya Taifa kila nachofikiria kuandika kilisha andikwa zamani, BORA NIWE NA COMMENT TU
 
  • Thanks
Reactions: amu
Yes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo
Pole sana mungu akuponye kwakweli
 
Back
Top Bottom