Leicester City (The Foxes) | Special Thread

Hahahah next station is Brighton so be prepared.....Go go go Foxes
Screenshot_20191117-110831.jpeg
Screenshot_20191117-110720.jpeg
Screenshot_20191117-110549.jpeg
Screenshot_20191117-110510.jpeg
 
Katisha sana..hivi mtu anaweza je kuhama timu aisee au mimi ndio shabiki mjinga??
Usisumbuke kumuuliza! Huyu 2013 alikuwa Arsenal ↓↓

2015 akawa Chelsea ↓↓

2019 yupo Leicester City.

But ninajaribu kutafuta kuanzia kipindi cha 2015 mpaka 2019 kama aliwahi kuhamia Liverpool na Man United.

2020 natarajia kumkutia Everton

Kiufupi hamana Mshabiki hapo bali pana mbabaishaji tu
 
Naamini hawa Briton hawawezi kutuchafulia maana November nzima ni sisi tu hatujarusu nyavu zetu kuguswa.....
 
Usisumbuke kumuuliza! Huyu 2013 alikuwa Arsenal ↓↓

2015 akawa Chelsea ↓↓

2019 yupo Leicester City.

But ninajaribu kutafuta kuanzia kipindi cha 2015 mpaka 2019 kama aliwahi kuhamia Liverpool na Man United.

2020 natarajia kumkutia Everton

Kiufupi hamana Mshabiki hapo bali pana mbabaishaji tu
Pilipili ipo sokoni wewe inakuwasha....hahahaha ngoja mkanyage Kingpower ndio utaelewa vizuri kwa sasa huwezi elewa
 
Back
Top Bottom