Leicester City ndo timu pekee ya Uingereza iliyoenda quarter final UEFA

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,942
14,005
Yani kati ya timu nne zilizokuwa Champions league UEFA ni Leicester peke yake ndo amewawakilisha Waingereza kwenye quarter final. Man City pamoja na
Ushindi mkubwa wa nyumbani lakini ameenda Ufaransa kung"edia kama
kaleweshwa viroba

Hawa hawa Monaco ndo walimtoa Arsenal last years.

Matimu ya Uingereza hayana maana
 
Hii bado ni timu nzuri sijui kwanini kwenye EPL wamekuwa doro kupita kiasi. Hata kama ni chuki dhidi ya kocha lakini si kwa kiasi hiki. Iweje wawe doro kwenye EPL lakini kwenye UEFA wanafanya vizuri kiasi hiki.
Hii timu inajijua yenyewe...UEFA Wamecheza kandanda safi mpaka sasa timu kubwa zimeanza kushtuka, ni timu ambayo watu wanashtukia tu iko juu...kwasababu ina jina dogo inapata faida ya kutokamiwa..
 
Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.

Hii timu inajijua yenyewe...UEFA Wamecheza kandanda safi mpaka sasa timu kubwa zimeanza kushtuka, ni timu ambayo watu wanashtukia tu iko juu...kwasababu ina jina dogo inapata faida ya kutokamiwa..
 
Yan kat ya tim nne zlizokuwa champion league UEFA n Leicester pekeake ndo
Amewawakilisha waingereza kwny quarter final man cty pamoja na
Uahind mkubwa wa nyumban lakin
Ameenda ufaransa kung"edia kama
Kaleweshwa viroba

Hawa hawa Monaco
Mdo walimtoa arsenal last years

Matim ya uingereza hayana maana
La liga ina timu tatu, let them fools say epl is better than la liga.
 
Sijui wana matatizo yepi hawa. EPL walistahili kabisa kuwa ndani ya nne bora. lakini bado ni tishio kubwa na sidhani kama watashuka daraja.
Kushuka daraja kwa sasa hivi kashakwepa.. Trend yake sasa ni nzuri...wangekuwa hivi toka msimu unaanza top four wangefika sasa kilichowasibu sijui ni nini
 
Yani kati ya timu nne zilizokuwa Champions league UEFA ni Leicester peke yake ndo amewawakilisha Waingereza kwenye quarter final. Man City pamoja na
Ushindi mkubwa wa nyumbani lakini ameenda Ufaransa kung"edia kama
kaleweshwa viroba

Hawa hawa Monaco ndo walimtoa Arsenal last years.

Matimu ya Uingereza hayana maana
Chelsea pekee ndio huwa hacheki na nyani
 
Back
Top Bottom