cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,148
- 136,649
Never Ever, hii song inaniua mnooo niki banggggyyy aaaah wee.Never ever sikuikubali sana ila nobody but me hata leo naiskia kama imetoka jana.. Timeless classic
Noumaaaaah!!!!
Never Ever, hii song inaniua mnooo niki banggggyyy aaaah wee.Never ever sikuikubali sana ila nobody but me hata leo naiskia kama imetoka jana.. Timeless classic
Salama huyu huyu aliyemwambiya konde boy hajuwi mziki?Wewe unaujua muziki kumzidi Salama?
Roho mbaya chuki na umaskini vinafanya kila anaezungumza ukweli kwa watu unaotamani waanguke kuwaona machawa.
Amezungumzia uandishi.Hivi Zuchu anaimba nyimbo Gani? Siamini kama Salama nayeye ni chawa njaa njaa kama wale wanaume wa kigoma.......Stara Thomas,Ray C,Jaydee..........hawa unaweza wafananisha na huyu bado ananuka maziwa ya mama yake bado?
Zuchu ameandika wimbo gani wa maana?Amezungumzia uandishi.
Iyo nyimbo ikihit uko kwenu tu? Mbona kwetu hatuijui? Uliza sukari ya zuchu mpaka mtoto mdogo ni shahidi anakuimbia nusu ya mistari ya nyimbo, weka chuki pembeni msapotini mwanamke mwenzenu ili muziki wa Tz ukue, or otherwise chuki hazijengiNever Ever, hii song inaniua mnooo niki banggggyyy aaaah wee.
Noumaaaaah!!!!
DA zuhura mbna una force sanaaa ukubalike? Si umeweka Ref zako hapa,. Sasa huruma ya nn tena? Relaaaaaaaax.Iyo nyimbo ikihit uko kwenu tu? Mbona kwetu hatuijui? Uliza sukari ya zuchu mpaka mtoto mdogo ni shahidi anakuimbia nusu ya mistari ya nyimbo, weka chuki pembeni msapotini mwanamke mwenzenu ili muziki wa Tz ukue, or otherwise chuki hazijengi
Kwann niforce huyo msanii akubalike wakt wew mwenyew unamkubali bali roho yako mbaya ya wivu inakufanya umuonee wivu mwanamke mwenzako akiyekuzidi kila kitu.DA zuhura mbna una force sanaaa ukubalike? Si umeweka Ref zako hapa,. Sasa huruma ya nn tena? Relaaaaaaaax.
Kumbe umeliona hili mkuu,ni ukweli mtupu!Salama amejaa udin na uzenji sana ukieelewa hilo unamaliza kazi huumizi kichwa, mfano kila anapomhoji mkristo mchunguze lazima ahoji din utasikia unadin sana au hauna, but akihojiwa muislam hukuti swali kama hilo wala la din chunguza, na kama mkristo akihojiwa akionekana anapenda dini utasikia unapenda din sana wewe huku kama akichukiachukia mchunguzeni nawapeni sili hiyo kwenye kipindi chake mtapata majibu
Unatema madini tupu kiongozi safi sana70Mil vws(sukari)....Hii ndiomaana ya hitsong yaan nyimbo inavuna wafuasi kwanzia mitaani, mpka mitandaoni, hawa ni baadhi ya views wa nyimbo moja ya zuchu ambao hawa huwez wapata kwa msanii yeyote wa kike ndan ya nchi hii ikiwezekana hata kwa East Africa, huyo nand na vanesa labda ukusanye nyimbo zao 20 ndio utapata thamani ya nyimbo moja SUKARI ya zuchu.
Tunaongea haya si kwa chuki bali ukwel unaopaswa kusemwa bila kuogopa wala kuwaofia haters hususan wanawake wenzie, nimeona humu jinsi wanawake mnavyompondea mwanamke mwenzenu ambaye kwa jitihada za kuinua muziki wa Tz zikife mbali nyie mnadharau, mnadharau wakat huko makwenu hata pesa ya bando inawasumbua.
Tupendane waTz mziki si uadui, ila inapaswa kuwapa heshima wale wanaostahili, na uzuri wa muziki haupimwi kwa uhodari wala ukongwe ktk game bali maajabu yako ya kufanikiw ktk muziki na kuwafanya wafuasi wengi wakuelewe na kukupenda.
Leo hii tukiwaambia vijana kwa nchi ya Tz hakuna msanii yeyote aliyewahi wala aliyepo wa kufikia level walizopo vijana wadogo akina diamond, alikiba na marioo, ndan ya muda mfupi wameweza kufanya makubwa ambayo hao wakongwe wenu wameshindwa licha ya kukaa kwenye game kwa muda mrefu,
Muziki wa sasa hauhitaji ujuaji mwingi wala hizo mbanga zenu za ushamba, bali ubunifu, jitihada na kuusambaza muziki nje ya afrika.
La mwisho, bila WCB mybe na alikiba kwa mbali, muziki wa Tz ungekuwa hovyo sana, na vile Tz hatuna tujivunialo ktk tasnia ya michezo(mpira) basi wacha muziki utustili wasanii waiwakilishe nchi yetu vizuriView attachment 2266068
Sijajua Kwanini umeijibu hii comment mkuu.Upo serious mkuu
1. Wanitafutia nini
2. Uko wapi
3. Milele
4. Sogea sogea
5. Mapenzi yangu
Na hii pia Sijajua kwanini umeijibu mkuu.kasikilize ladha za pwani kama raha na wana kwa amani zote bro..
Vitu kama closer, come over, nobody but me, uniroge, bambino, wet, moyo.. Sio vya watu wote "njomba"
Sijajua Kwanini umeijibu hii comment mkuu.
kasikilize ladha za pwani kama raha na wana kwa amani zote bro..
Vitu kama closer, come over, nobody but me, uniroge, bambino, wet, moyo.. Sio vya watu wote "njomba"