Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Dragon and my other comrades, I'm anxiously looking for proper, materials/books for Taxation law in Tanzania
 
Naomba mwenye kesi hii anisaidie tafadhali. Please ans please
SARJIT SINGH v SEBASTIAN CHRISTOM 1988 TLR 24 (HC) Court High Court of Tanzania - Dar Es Salaam
Judge Kyando J
 
Mkuu naomba case reference au kitabu cha LENDERS LIABILITY plse. Case za hapa kwetu kama ipo
 
Please can you explain the meaning of overriding objective

Sent using Jamii Forums mobile app
just google there is a lot of literature on that! Labda anza na hii in synopsis. Kama wewe ni mwanafunzi wa sheria, you need to do more! Looks you are a bit lazy.. excuse me for that unfriendly comment!
 

Attachments

  • Legal-Update-2-October-2018 OVERRIDING OBJECTIVES.pdf
    262.6 KB · Views: 85
Jaman hili suala la WhatsApp group sio la mzaha....na kam tatizo ni utekelezaji wake, bado tatzo hili si tatzo tena mm nitakuwa team/group leader na jina la group ni JF Bar...au...JF Jurists naombeni namba zanu tafadhari!.
Wakili msomi naomba uniadd kwenye grup la watsup kama lipo, 0658 200606
 
Naomba kujua kuna umuhimu wa mwajili kumpa barua ya kutoongeza mkataba kwa mfanyakazi ambae mkataba unaenda kumalizika msaada tafadhali.
 
Dragoon and others plz naomba softcopy Ya Decision Ya CAT inayosema Extension Of Time Is Time Bared.... Ni Urgent Sana Guys
 
Wakuu naomben msaada wa maelezo kwa scenario hii. Samahanini kama ishajibiwa na sijaiona.
naomba ufafanuzi wa kisheria.
Mimi kuna bro wangu kakimbia kusikojulikana na fedha za kampuni moja hivi.alikuwa anakaa home kwa baba.kampuni limeanza kumsumbua mzee kumtishia kumshtaki.je mzee anastahili kusumbuliwa kiasi hicho??
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom