Bila Dragon this thread is dead! pole sana.Not sure kama kuna WhatsApp group or telegram. Kama lipo naomba mniunge kwa namba hii 0755198295
Bila Dragon this thread is dead! pole sana.Not sure kama kuna WhatsApp group or telegram. Kama lipo naomba mniunge kwa namba hii 0755198295
Samahani Naomba mnisaidie
Limitations on the powers of courts in dealing different cases
Msaadaaa pleasea anayefahamu
Naomba msaada mwenye kitabu cha issa shivj's provisions of rule of law tafadhaliKuna hii kesi ya hivi karibuni. Ni kesi ya Farijala S. Hussen imeamuliwa na mahakama ya rufani mwishoni mwa mwezi uliopita. Inatoa angalizo kuhusu Notice of appeal na Memorandum of Appeal, pia namna ya kudraft notice of appeal. karibuni
Mkubwa nlkua nahitaji copyright ya ruling ya kesi ya lema CAT naHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
Hakuna cause of action ya hivi, labour ni labour case haijawahi kuwa tortWadau, Naombeni cases za Tanzania Zinazohusu wrongful termination of employment as a tort. Natanguliza shukhrani!!
Sent using Jamii Forums mobile app